Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Mkuu umri wako tafadhali
Anyway kua uyaone
Anyway kua uyaone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umepata alie bikra?Bikra ziheshimiwe wakuu
Sijamtukana sista na kwanini ukasirike kuona mada yenye mafunzo kwa wanaume juu ya kudhamini bikra? Huoni kwamba unajitia aibu kutetea uzinifu badala ya kusisitiza wanawake kujitunza??? Kumbuka wanawake wenyewe ndio wa nakubali kubikiriwa na Wala usisingizie mwanaume tena wanawake wengi walivyo wajinga wanaona kuwa bikra ni ushambaSasa unapanic nini mkuu? Em relax. Ka jinga 😂
We tafta hela. Hautapata muda wa kuanzisha nyuzi za hivi, i can assure you.
Acha kujikuta umekunywa red pill umekuwa Andrew Tate.
Wenzako wale wanafanya zile content kutengeneza pesa na ku-influence maboya kama wewe ambao mnadhani mwanamke hana bikra anakuwa kilema.
Nimekuuliza swali. Una umri gani.
Jitahidi kutoa your answer bila tusi
mali mpya unanunua used???
IPhone ya kwenye box tofauti na used!Kuwa uone mambo, utakuja elimika. Kwa sasa nakwambia kitu kimoja tu bikra sio kila kitu katika maisha ya ndoa.
Kama unakidhi vigezo njoo inboxumepata alie bikra?
As your momStupid little boy
abracadabra!!Huwezi kuta mtu mwenye ndoa yake serious ameanzisha uzi wa kijinga hivi.
Wewe ni either unasubiri shule zifunguliwe au umetoka kwenye mihangaiko unataka uchangamshe kijiwe
Toka hapa usitupumzikie
Niyaone manini sistaMkuu umri wako tafadhali
Anyway kua uyaone
Nimekuwa sister lini mkuuNiyaone manini sista
Hao walio wengi huwa wanatulia sana kwa maana tayari walishafanya makosa so hawatakagi kufanya makosa mara mbili, ila hivyo vitoto anavyozungumzia mleta mada, vingi huwa havinaga exposure kabisa na mambo mengi yanayo husiana na mapenzi so huwa kuna nyakati zikifika wanatamanigi kujaribu jaribu ili waone na za wengine zinafananaje.Mleta uzi ana oja! Hapa mtaani nimekuja kugundua zaidi ya 70% wake zao wamekuja na watoto zao katika ndoa zao! Ikiwa na maana wanaume walioa second hand used scrapper from Japan ! Inasikitisha!
Issue sio bikra! Issue kuoa mwanamke ana mtoto!Kuwa uone mambo, utakuja elimika. Kwa sasa nakwambia kitu kimoja tu bikra sio kila kitu katika maisha ya ndoa.
Mkuu mbona makasiriko sana au mshale wa mtoa mada umekupiga kichwani?.maneno ya mkosaji ,🤣🤣🤣.. hapo ukite unatamani upate hata mshangazi ila umechemka unaamua kujifichia kwa mabikra nao huwezi wapata
No no no! Soma tena alichokiandika muanzishaji wa uzi huu!Issue sio bikra! Issue kuoa mwanamke ana mtoto!
Sijamtukana sista na kwanini ukasirike kuona mada yenye mafunzo kwa wanaume juu ya kudhamini bikra? Huoni kwamba unajitia aibu kutetea uzinifu badala ya kusisitiza wanawake kujitunza??? Kumbuka wanawake wenyewe ndio wa nakubali kubikiriwa na Wala usisingizie mwanaume tena wanawake wengi walivyo wajinga wanaona kuwa bikra ni ushamba
Asante kwa kushirikiKila la heri mkuu
Hawa ndio wale waliiooa usedMkuu mbona makasiriko sana au mshale wa mtoa mada umekupiga kichwani?.
Christina Shusho aliolewa akiwa bikira lakini leo hana ndoa na wahuni wanajipigia tu, Bikra haitunzi ndoaWanaume wenzangu mnawezaje kuoa mwanamke alikwishatumika? Uwa nawaza sana ni kwamba huyo uliemuoa used ni ana hela sana? Au mzuri sana kiasi kwamba unaachaje mali mpya unanunua used??? Kila nikiwa kwenye mahusiano na demu kimoyo moyo wakati wa show uwa najisemea "huyu mpaka akaolewe si atakua kaishatumika sana? Na uwa nawakaza sana kila style ili mabwege yaje kuoa used"