Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Sijamtukana sista na kwanini ukasirike kuona mada yenye mafunzo kwa wanaume juu ya kudhamini bikra? Huoni kwamba unajitia aibu kutetea uzinifu badala ya kusisitiza wanawake kujitunza??? Kumbuka wanawake wenyewe ndio wa nakubali kubikiriwa na Wala usisingizie mwanaume tena wanawake wengi walivyo wajinga wanaona kuwa bikra ni ushamba
 
Kuwa uone mambo, utakuja elimika. Kwa sasa nakwambia kitu kimoja tu bikra sio kila kitu katika maisha ya ndoa.
IPhone ya kwenye box tofauti na used!
N. B huyo mke wako haitokuja kumsahau aliembikiri maisha yake yote! Na aliembikiri ndie mme wake kiroho pia kumbuka ilivyochomoka aliirudishia kipindi hicho simp kama wewe hujajua kwenye maisha yake
 
Huwezi kuta mtu mwenye ndoa yake serious ameanzisha uzi wa kijinga hivi.

Wewe ni either unasubiri shule zifunguliwe au umetoka kwenye mihangaiko unataka uchangamshe kijiwe

Toka hapa usitupumzikie
abracadabra!!
 
Mleta uzi ana oja! Hapa mtaani nimekuja kugundua zaidi ya 70% wake zao wamekuja na watoto zao katika ndoa zao! Ikiwa na maana wanaume walioa second hand used scrapper from Japan ! Inasikitisha!
Hao walio wengi huwa wanatulia sana kwa maana tayari walishafanya makosa so hawatakagi kufanya makosa mara mbili, ila hivyo vitoto anavyozungumzia mleta mada, vingi huwa havinaga exposure kabisa na mambo mengi yanayo husiana na mapenzi so huwa kuna nyakati zikifika wanatamanigi kujaribu jaribu ili waone na za wengine zinafananaje.
 
Bikra haina maajabu yeyote. Alafu ni ngumu ku confirm.

Mtu ambaye ameshikilia mambo ya bikira ni mtu dhaifu tu. Ni mtu mwenye mawazo finyu.

Ni bora hata kuongelea mambo ya kuwa na uhuru kiuchumi kuliko kuongelea mambo ya bikira.

Kwa Sasa Kijana ambaye ni fukara ikitokea akaoa bikira atachapiwa tu. Na hapo ndiyo utakosa maana ya kukazia mambo ya bikira.

Vijana wa kiislamu ndiyo hupenda sana kupiga stori za mabikira.
 

Kila la heri mkuu
 
Christina Shusho aliolewa akiwa bikira lakini leo hana ndoa na wahuni wanajipigia tu, Bikra haitunzi ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…