Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Acha kuleta mifano isiyoendana na swali langu.

Jibu swali, acha kuzunguka.

Hapa tunaongelea maisha tunayoishi sisi (watu ).

Mtu na simu wapi na wapi.
Kwamba maneno yoote nilioandika umeona neno "simu" tu? Au ndio unaumia kisa hukujitunza kabla ya kuolewa
 
Ukiona product haina SEAL, hiyo ni used, maana yake Imetumika.
Kikawaida bidha iliyotumika inakuwa sio bora na ni hatari sana Kuitumia. Kuna uwezekano mkubwa ukaingia gharama kubwa kwenye matumizi yake. Bidha mpya ni smooth Kuitumia. Haisumbuwi. Mfano, Nunua simu mpya dukani au Nunua simu used kwa MTU. Utaona simu used itakusumbuwa tu Kuitumia.

Sasa Mungu aliweka kitu kinachoitwa BIKRA kwa wanawake. BIKRA ni SEAL ya MWANAMKE. Ina maana sana, sana, sana.

MWANAMKE BIKRA ni bidha mpya. Ni bidha original kabisa. Matumizi ya bidha mpya ukiipata ni smooth sana. Unateleza tu.

Zifuatazo ni faida za kuoa BIKRA
1) MWANAMKE BIKRA hawezi kukusumbuwa. Anakuwa mti sana
2) MWANAMKE BIKRA hawezi kukusaliti hata kama unaisha naye mbali.
3) Watoto wako wanakuwa na afya ya kimwili na kiroho maana njia ya mkeo haijawahi kupitisha uchafu wowote
4)Mwanamke BIKRA anakujuwa wewe tu dunia nzima. Hamjui mwanamme mwingine, kwa hiyo ni rahisi kumuongoza. Mwanamke BIKRA amebarikiwa sana na Mungu. Huwezi kupata Magonjwa ya zinaa.

5) Mwanamke BIKRA ni mwaminifu ktk mambo ya fedha
Faida zipo nyingi.
Ukioa mwanamke ambayo sio BIKRA Mara nyingi inakuwa kinyume chake
Wewe nahisi una Dunia yako kwenye kichwa chako.

Endelea na stori zako za bikira.
 
Moja ya sababu inayofanya baadhi ya wanaume kuoa wanawake wasiokua na bikra,ni uzito wa kutongoza.
Inasikitisha sana kama kweli kuna wanaume wanaamua kuoa mwanamke ambaye kapitia mahusiano yanayohusisha kufanya tendo la ndoa,na wanaume wengine.
 
Wengi wao wanakasirika humu ni wale waliiooa mitumba
 
Wewe ndio mjinga nimekupa faida za kuoa bikra kuliko mitumba na wewe nipe faida za kuoa machangudoa kuliko bikra
Wewe ndio mjinga nimekupa faida za kuoa bikra kuliko mitumba na wewe nipe faida za kuoa machangudoa kuliko bikra
Utaitaje mtu changudoa na wakati huwezi hata kuithibitisha hiyo bikira.

Narudia tena wewe ni mjinga.

Hizo faida ni umejiandikia kivyako.

Usitegemee kwamba itakuwa sawa kwa kila mtu.

Hapa duniani tunaishi kwenye sehemu tofauti zenye changamoto zake.
 
Wengi wao wanakasirika humu ni wale waliiooa mitumba
Wanakosea sana,hii ya kuendekeza kuoa wadada ambao wameshatolewa usichana wao,inawafanya baadhi ya wadada na jamii kutoona thamani ya kutofanya ngono kiholela.Inafedhehesha sana.Wanaume tukikataa kuwaoa waliokwishafanya mapenzi kabla ya ndoa,jamii itabadilika.
 
Utaitaje mtu changudoa na wakati huwezi hata kuithibitisha hiyo bikira.

Narudia tena wewe ni mjinga.

Hizo faida ni umejiandikia kivyako.

Usitegemee kwamba itakuwa sawa kwa kila mtu.

Hapa duniani tunaishi kwenye sehemu tofauti zenye changamoto zake.
Mjinga ni wewe! Mbona swala look naeleweka NIPA FAIDA ZA KUOA MTUMBA KULIKO BIKRA
 
Wanakosea sana,hii ya kuendekeza kuoa wadada ambao wameshatolewa usichana wao,inawafanya baadhi ya wadada na jamii kutoona thamani ya kutofanya ngono kiholela.Inafedhehesha sana.Wanaume tukikataa kuwaoa waliokwishafanya mapenzi kabla ya ndoa,jamii itabadilika.
Naam nashukuru kuwa miongoni mwa wanaume wachache wanaojielewa kiufupi siwezi kuoa mwanamke alitumika na wanaume wengine na kuna wengine mpaka ma X wa mwanamke wanawajua na bado anaoa
 
Back
Top Bottom