Captain Fire
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 2,435
- 5,000
Kwamba maneno yoote nilioandika umeona neno "simu" tu? Au ndio unaumia kisa hukujitunza kabla ya kuolewaAcha kuleta mifano isiyoendana na swali langu.
Jibu swali, acha kuzunguka.
Hapa tunaongelea maisha tunayoishi sisi (watu ).
Mtu na simu wapi na wapi.
Asante kwa kushirikikaribu sana
Sawaaa njoo nikuoe wewe kama unaona sitaoa bikraWe bado mtoto Chief, nyinyi mmeingia JF baada ya smartphones kuingia Africa, so probably wewe ni "mtoto wa 2000".
Childish.Sawaaa njoo nikuoe wewe kama unaona sitaoa bikra
Asante kwa kushirikiChildish.
Wewe nahisi una Dunia yako kwenye kichwa chako.Ukiona product haina SEAL, hiyo ni used, maana yake Imetumika.
Kikawaida bidha iliyotumika inakuwa sio bora na ni hatari sana Kuitumia. Kuna uwezekano mkubwa ukaingia gharama kubwa kwenye matumizi yake. Bidha mpya ni smooth Kuitumia. Haisumbuwi. Mfano, Nunua simu mpya dukani au Nunua simu used kwa MTU. Utaona simu used itakusumbuwa tu Kuitumia.
Sasa Mungu aliweka kitu kinachoitwa BIKRA kwa wanawake. BIKRA ni SEAL ya MWANAMKE. Ina maana sana, sana, sana.
MWANAMKE BIKRA ni bidha mpya. Ni bidha original kabisa. Matumizi ya bidha mpya ukiipata ni smooth sana. Unateleza tu.
Zifuatazo ni faida za kuoa BIKRA
1) MWANAMKE BIKRA hawezi kukusumbuwa. Anakuwa mti sana
2) MWANAMKE BIKRA hawezi kukusaliti hata kama unaisha naye mbali.
3) Watoto wako wanakuwa na afya ya kimwili na kiroho maana njia ya mkeo haijawahi kupitisha uchafu wowote
4)Mwanamke BIKRA anakujuwa wewe tu dunia nzima. Hamjui mwanamme mwingine, kwa hiyo ni rahisi kumuongoza. Mwanamke BIKRA amebarikiwa sana na Mungu. Huwezi kupata Magonjwa ya zinaa.
5) Mwanamke BIKRA ni mwaminifu ktk mambo ya fedha
Faida zipo nyingi.
Ukioa mwanamke ambayo sio BIKRA Mara nyingi inakuwa kinyume chake
Naona Umekosa cha kujiteteaaWewe nahisi una Dunia yako kwenye kichwa chako.
Endelea na stori zako za bikira.
Cc : Mgibeon Dei Gratia Rex Ms RPIA SOMA
Rafiki yangu anataka kuahirisha kuoa Baada ya kutumiwa video ya ngono ya mke wake mtarajiwa!
Rafiki yangu wa karibu sana, ametumiwa video ya ngono ya. Mke wake mtarajiwa na hii ni ya. Majuzi tu, Sasa ubaya zaidi, mtu aliyekuwa akifanya nae mapenzi ni Rafiki yetu wa karibu! Sana pia, ina maana mwamba alikua akimzumnguka mshikaji wetu Mpaka gharama zilizotumika 👉Mahari na mambo mengine...www.jamiiforums.com
Wengi wao wanakasirika humu ni wale waliiooa mitumbaMoja ya sababu inayofanya baadhi ya wanaume kuoa wanawake wasiokua na bikra,ni uzito wa kutongoza.
Inasikitisha sana kama kweli kuna wanaume wanaamua kuoa mwanamke ambaye kapitia mahusiano yanayohusisha kufanya tendo la ndoa,na wanaume wengine.
Kiaje blazaTatizo hazina plate number latest...
Wewe ndiyo umekosa maelezo ya kina kuhusu swali langu.Naona Umekosa cha kujiteteaa
Wewe ndio mjinga nimekupa faida za kuoa bikra kuliko mitumba na wewe nipe faida za kuoa machangudoa kuliko bikraWewe ndiyo umekosa maelezo ya kina kuhusu swali langu.
Unadhani kila mtu ni mjinga humu JF.
Wewe ndio mjinga nimekupa faida za kuoa bikra kuliko mitumba na wewe nipe faida za kuoa machangudoa kuliko bikra
Utaitaje mtu changudoa na wakati huwezi hata kuithibitisha hiyo bikira.Wewe ndio mjinga nimekupa faida za kuoa bikra kuliko mitumba na wewe nipe faida za kuoa machangudoa kuliko bikra
Wanakosea sana,hii ya kuendekeza kuoa wadada ambao wameshatolewa usichana wao,inawafanya baadhi ya wadada na jamii kutoona thamani ya kutofanya ngono kiholela.Inafedhehesha sana.Wanaume tukikataa kuwaoa waliokwishafanya mapenzi kabla ya ndoa,jamii itabadilika.Wengi wao wanakasirika humu ni wale waliiooa mitumba
Mjinga ni wewe! Mbona swala look naeleweka NIPA FAIDA ZA KUOA MTUMBA KULIKO BIKRAUtaitaje mtu changudoa na wakati huwezi hata kuithibitisha hiyo bikira.
Narudia tena wewe ni mjinga.
Hizo faida ni umejiandikia kivyako.
Usitegemee kwamba itakuwa sawa kwa kila mtu.
Hapa duniani tunaishi kwenye sehemu tofauti zenye changamoto zake.
Naam nashukuru kuwa miongoni mwa wanaume wachache wanaojielewa kiufupi siwezi kuoa mwanamke alitumika na wanaume wengine na kuna wengine mpaka ma X wa mwanamke wanawajua na bado anaoaWanakosea sana,hii ya kuendekeza kuoa wadada ambao wameshatolewa usichana wao,inawafanya baadhi ya wadada na jamii kutoona thamani ya kutofanya ngono kiholela.Inafedhehesha sana.Wanaume tukikataa kuwaoa waliokwishafanya mapenzi kabla ya ndoa,jamii itabadilika.
Mtumba na bikra ndiyo niniMjinga ni wewe! Mbona swala look naeleweka NIPA FAIDA ZA KUOA MTUMBA KULIKO BIKRA