Mshangazi dot com JF-Expert Member Joined Nov 19, 2011 Posts 1,345 Reaction score 3,503 Mar 8, 2025 #7,041 The useful idiot said: Yeye alitolewa wiki nzima na vipi mwanamke kweli hataiweje haiwezi kumsahau aliembikiri? Click to expand... Si kweli, mimi nilimsahau, maisha yakaendelea na nikapata wengine walionifurahisha zaidi yake.
The useful idiot said: Yeye alitolewa wiki nzima na vipi mwanamke kweli hataiweje haiwezi kumsahau aliembikiri? Click to expand... Si kweli, mimi nilimsahau, maisha yakaendelea na nikapata wengine walionifurahisha zaidi yake.
The useful idiot JF-Expert Member Joined Jul 14, 2024 Posts 1,019 Reaction score 2,670 Mar 8, 2025 #7,042 Mshangazi dot com said: Si kweli, mimi nilimsahau, maisha yakaendelea na nikapata wengine walionifurahisha zaidi yake. Click to expand... Naweza kumpata wapi mwanamke bikra na mbona wengine wanabahati ya kutoa bikra za wanawake wengi?
Mshangazi dot com said: Si kweli, mimi nilimsahau, maisha yakaendelea na nikapata wengine walionifurahisha zaidi yake. Click to expand... Naweza kumpata wapi mwanamke bikra na mbona wengine wanabahati ya kutoa bikra za wanawake wengi?
Nikifa MkeWangu Asiolewe JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 6,944 Reaction score 14,351 Mar 8, 2025 #7,043 Mshangazi dot com said: Abee, nimefika. Yangu ilitolewa na kijana ambaye naye ilikua siku yake ya kwanza kula tunda, ilikua kama movie ya kuchekesha tu. Hakuna aliyepata raha siku hiyo 😂 😂 😂 😂 Click to expand... Vyema kabisaa kwa ushuhuda malidhawa.Mara zote hata mimi sijawahi Furahia ina kera sana. Mnakuwa kama mpo vitani wakati ni raha. Ila jamaa hakuwa ndo anaanza la sivyo asingeweza😂😂
Mshangazi dot com said: Abee, nimefika. Yangu ilitolewa na kijana ambaye naye ilikua siku yake ya kwanza kula tunda, ilikua kama movie ya kuchekesha tu. Hakuna aliyepata raha siku hiyo 😂 😂 😂 😂 Click to expand... Vyema kabisaa kwa ushuhuda malidhawa.Mara zote hata mimi sijawahi Furahia ina kera sana. Mnakuwa kama mpo vitani wakati ni raha. Ila jamaa hakuwa ndo anaanza la sivyo asingeweza😂😂
Mshangazi dot com JF-Expert Member Joined Nov 19, 2011 Posts 1,345 Reaction score 3,503 Mar 8, 2025 #7,044 Nikifa MkeWangu Asiolewe said: Vyema kabisaa kwa ushuhuda malidhawa.Mara zote hata mimi sijawahi Furahia ina kera sana. Mnakuwa kama mpo vitani wakati ni raha. Ila jamaa hakuwa ndo anaanza la sivyo asingeweza😂😂 Click to expand... Itoshe kusema, ilikua ni kama movie ya kuchekesha 😆 😂
Nikifa MkeWangu Asiolewe said: Vyema kabisaa kwa ushuhuda malidhawa.Mara zote hata mimi sijawahi Furahia ina kera sana. Mnakuwa kama mpo vitani wakati ni raha. Ila jamaa hakuwa ndo anaanza la sivyo asingeweza😂😂 Click to expand... Itoshe kusema, ilikua ni kama movie ya kuchekesha 😆 😂
The useful idiot JF-Expert Member Joined Jul 14, 2024 Posts 1,019 Reaction score 2,670 Mar 8, 2025 #7,045 Nikifa MkeWangu Asiolewe said: Vyema kabisaa kwa ushuhuda malidhawa.Mara zote hata mimi sijawahi Furahia ina kera sana. Mnakuwa kama mpo vitani wakati ni raha. Ila jamaa hakuwa ndo anaanza la sivyo asingeweza😂😂 Click to expand... Kwanini inakua kama mpo vitani?
Nikifa MkeWangu Asiolewe said: Vyema kabisaa kwa ushuhuda malidhawa.Mara zote hata mimi sijawahi Furahia ina kera sana. Mnakuwa kama mpo vitani wakati ni raha. Ila jamaa hakuwa ndo anaanza la sivyo asingeweza😂😂 Click to expand... Kwanini inakua kama mpo vitani?
Nedlloyd JF-Expert Member Joined Mar 29, 2014 Posts 10,361 Reaction score 27,215 Mar 15, 2025 #7,046 Uzi umekaa Kama Direct Energy weapon.