Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 3,477
- 5,283
Sasa mbona wake zenu ndio washirikina wanashinda kwenye vibaraza vya waganga wapewe dawa za kuwatengeneza!Kwa imani yetu mwanamke anaweza kuolewa hata kama ni kahaba wa kulala na wanaume 100 kwa siku , isipokuwa kama atakuwa mshirikina tu basi ..Mwanamke akiwa mshikina hafai kabisa .