Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Sasa Mkuu Unaiongelea Bikra Sawa Sawa
Vp Wale Waliokeketwa Kwa Maana Ya Mila Na Desturi
Nashauri Oa Bikra, Asiye Bikra, Aliyekeketwa, Mjane, Single Mom
Tukiwatenga Sasa Nchi Itajaaje Watu
 
Ukioa mwanamke ambaye hukumtoa bikra ipo siku atarudi kukumbushia kwa aliemtoa bikra na utabaki na magari, fedha na nyumba zako.

Wanawake wasio na bikra wabakie kuzalishwa na kuwa single mother.
Nimemaliza.
Na kila unayemtoa bikra muoe.
 
📌📌📌📌📌📌📌

20261026_233647.png
 
Hili haliwezekani kwa dunia ya sasa,labda utumie utaratibu wanaofanya wamasai,wanafanya booking mwanamke akishazaliwa tu,na kwakuwa sheria zao ni kali huwezi kukuta ana mess hapa katikati,pia wao wanaweza kuchukua hata kabla hajavunja ungo,unachukua huku unasikilizia mwenye ukiwa naye...
 
Kwa imani yetu mwanamke anaweza kuolewa hata kama ni kahaba wa kulala na wanaume 100 kwa siku , isipokuwa kama atakuwa mshirikina tu basi ..Mwanamke akiwa mshikina hafai kabisa .
 
Je mama yako alitolewa bikra na baba yako?
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom