Chizi Jambazi
JF-Expert Member
- Sep 22, 2017
- 1,869
- 1,471
Utapigiwa tu.
Hakuna ushahidiHali ikoje huko majumbani kwenu mliooa wanawake mabikra? Je anakuheshimu kisa wewe ni mwanaume wake wa kwanza? Hajawahi kuchepuka,hao wanawake walio olewa na bikra zao hawajawahi kuachika? Leo naomba mnao sapoti wanaume waoe mabikra tu mtuambie,je huko ndoani hali ikoje?
Nikifa MkeWangu AsioleweBinafsi naonaga Kuoa bikra Kuna asilimia kubwa ya kuachwa kuliko kuoa ambae sio bikra.
sababu ya kwanza , wanawake ni kama watoto wanapenda kujaribu, sasa unapomtoa wewe uanamuumiza, na kama HUJUI mapenzi yawezekana kila siku ukawa uanamuumiza tu asifutahie mapenzi.
Kwahyo anapoona watu wanasifia utamu wa mapenzi yeye atajiuliza mbona haupati? Sasa atakachokifanya ni kujaribu nje akidhani kua wewe ndio tatizo.
Sababu ya pili, Ukioa bira ambae kidogo ana ka age, mfano miaka 18-21, Hawa wanakuaga na ma boyfriend wao au watu wanaowapenda, ila hawakufanya mapenzi kwa kuhofia hatma za maisha yao, maana unaweza kuta kijana haeleweki kimaisha au kimsimani, kwahyo wanazungushana, hapo ujute Binti katika familia yenye msimamo.
Kwahyo hapo wamewekana kipoto, siku atakae oa alifungua tu mlango basi anampelekea na boyfriend wake.
Sasi. Koa bikra sio suluhu mkuu, uelewana' ndio suluhu. Bk sio kipimo cha uaminifu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna bikira siku hizi kuna mapango kuna moja limeharibu upepo huko [emoji41]
Ila inaheshema yake kuoa bikra ndo hivyo atuna jinsi ,pia trauma za mapenzi mwanamke anakua hanaKumtoa Dem bikra sio kigezo kwamba hutagongwa naomba hili lieleweke vyema.
Unaweza kuitoa bikra ikawa mwanzo wa kufungulia wengine mlangoKumtoa Dem bikra sio kigezo kwamba hutagongwa naomba hili lieleweke vyema.
Miner hachagui mgodi anachimba na kupiga dynamite mpaka dhahabu ipatikaneIla inaheshema yake kuoa bikra ndo hivyo atuna jinsi ,pia trauma za mapenzi mwanamke anakua hana
Hakika,Unaweza kuitoa bikra ikawa mwanzo wa kufungulia wengine mlango
Sasa bora uufungue huo mlango akiwa kama demu wako Ila akiwa mke eeh ni hatari
Me ninavyoona mwanamke anayefaa kuolewa hapimwi kwa kigezo za bikra
Wwe ni bikra?Alafu unakuta manzi anakuletea tena jeuri anakwambia utanikumbuka wakati hukumkuta bikra
Umalaya Upo kwenye akili na hisia zake sio kwenye quuuuHakika,
kama ni wakugongwa atatiwa tu hata umtoe bikra halafu uweke Quarantine iko siku atatiwa tu.