Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

70142A4D-0FC2-4E5A-BBE5-56FDDE2DE96F.jpeg
 
Hii vita ni Kali sana, by the way wataenda kuwapokea wale 72 kule mbali😎
 
Mimi sijakuuliza kuhusu magari 🤦🏽‍♀️.

Naomba usome tena swali langu na ulitolee majibu kwa kunijuza hizo faida au msaada wa bikra kwenye ndoa.

Mimi sijakuuliza kuhusu magari 🤦🏽‍♀️.

Naomba usome tena swali langu na ulitolee majibu kwa kunijuza hizo faida au msaada wa bikra kwenye ndoa.
Bikra zinatusaidia nini kwenye ndoa?
Majawabu ni kama ifuatavyo.

Mosi kujenga uzoefu pamoja.
Mwanamke ambaye hajawahi bikiriwa ni mgeni kwenye mapenzi.

Uhakika wa kwamba huyu ni mwaminifu kwa kiwango chote. Iwapo atabadirika ni ajali kazini.

Kinyume chake mwanamke asiye na bikira. Moja kwa moja huyo ni Malaya,kahaba, muuzaji siyo mwaminifu huyo uwezekano wa kuanzia alipoishia yenyewe iko wazi.

Huyu asiye na bikira ni kungwi anajua kila aina ya mitaimbo


Ndg nimejibu swali lako
 
Thibitisha wapi yalipitwa na wakati mzee?
Tunaishi katika dunia ambayo si lazima mtu afanye ngono ili aweze kuzaa. Maendeleo ya teknolojia kama vile In Vitro Fertilization (IVF), uchangiaji wa mayai (egg donation), na uchangiaji wa mbegu za kiume (sperm donation) yamebadilisha kwa kiwango kikubwa dhana ya ndoa na uzazi.

Kwa mtazamo wa kisayansi, ubikra (virginity) hauna kipimo thabiti; hivyo hubaki kuwa dhana ya kidesturi Tu, badala ya kuwa ukweli wa kibaolojia.
 
Mwanamke bikra hamna,mwenye heshima hamna,mwenye upendo hamna,sasa tunaoa nini maana nashangaa. Wengi wao wamechakatwa mpaka hawana ladha,saiv ndoa haina ladha nikupotezeana tuh wakati. Mwanaume kamata kitoweo ,ukishamaliza sepa zako.Ila mambo yakuwaza ndoa achana nayo,maana utapatwa na majanga Bado nazidi kukataa ndoa,ila mbususu lazm niile tena kwa mpigo.Ndoa n mambo ya mzungu,ila ss tulivyo kama nyumbu tunafuata kila kitu,hata akiingia mtaron tunazama pamoja
 
Back
Top Bottom