Wapo wanaume wenzetu mamia kwa maelfu walishawahi kutapeliwa kwa kuaminishwa kuwa mchumba wake ni bikira.
Hawa ni wanaume ambao wengi wao Mkuu wa makuhani
Natafuta Ajira huwaita NICE GUY au mimi niwaite wenye element za kithesolonike hawa wameuziwa mbuzi kwenye gunia kwa wingi wao.
Zaidi ya yote huamini mke mwema anatoka Kwa Bwana hata kama hana bikira au alikuwa kahaba wakikutana naye kanisani akasalimiwa shalom Nice guy huingia mkenge bila kusita.
Wengine wapo wao kwa kujua ama kwa kutokujua walijikuta wameoa kitu used.
Je nifikra zipi zilikujia kichwani baada ya kukuta wahuni walishapita?
Kwa habari yetu sisi tuliobahatika kuvunja bikira hatuna kipengele kwakweli tunajisifu kwa hilo.