Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Bikra ni alama ya uaminifu na baraka kwa kizazi chako

Habarini Wakuu,

Naweza kuwa tofauti na wengi, naweza nisiungwe mkono na wengi hasa wale waliooa na walioolewa, lakini ninachojaribu kueleza hapa ni suala lenye manufaa kwa familia, jamii, taifa na dunia kwa ujumla. Ni suala litakalo iweka dunia salama hasa katika kipengele cha mahusiano ndani ya ndoa.

Haijalishi tulikosea wapi na kujikwaa wapi, makosa tuliyoyafanya tuhakikishe hayajitokezi kwa wana na binti zetu, ili familia zetu ziweze kuwa bora na zenye baraka kwa Mungu.

Bikra ni alama aliyopewa mwanamke kuthibitisha kuwa hajaguswa na mwanaume. Kwa nini Mwanamke apewe alama hii? Nitakupa mfano, Ukienda kununua kitu dukani kuna alama fulani huwekwa katika kitu husika ikiashiria kitu hicho ni kipya.

Ndivyo ilivyo kwa mwanamke, bikra ni uthibitisho namba moja kuonyesha mwanamke husika ni kigoli, mwanawali na ambaye hajaguswa. Mwanaume hajapewa alama hii kwani yeye hayupo kwaajili ya mwanamke bali mwanamke kwaajili ya mwanaume. Hivyo ni kusema mwanaume ndiye mwenye wajibu wakumtafuta mwanamke kama kitu chenye thamani vyote duniani.

Ili ndoa zetu zidumu lazima jambo hili lizingatiwe. Watu wengi wanachukulia ni jambo jepesi lakini athari zake zinaonekana. Usishangae kusikia watu kudhihakiana kwa majina elfu. Mara kibamia, sijui bwawa haya yote ni matokeo ya kuoa wanawake wasio bikra.

Tuje kwenye maandiko;
Kumbukumbu la torati 22:
13 Mtu akitwaa mke, akamwingilia na kumchukia,
14 kisha akamshitaki mambo ya aibu kumzushia jina baya, akasema, Nimemtwaa mwanamke huyu, nami nilipomkaribia sikuona kwake alama za ubikira;
15 ndipo babaye yule kijana na mamaye watakapotwaa alama za yule kijana za ubikira, wawatolee wazee wa mji langoni;
16 na baba yake yule kijana awaambie wazee, Mwanamume huyu nilimpa binti yangu awe mkewe, naye amchukia;
17 angalieni, amemwekea mambo ya aibu, asema, Sikuona kwa binti yako alama za ubikira, nazo hizi ndizo alama za binti yangu za ubikira. Na wayakunjue yale mavazi mbele ya wazee wa mji.
18 Basi wazee wa mji ule na wamtwae yule mtu mume na kumrudi,
19 wamtoze shekeli mia za fedha, wampe babaye yule kijana, kwa kuwa amemzulia jina baya mwanamwali wa Israeli; naye awe mkewe; hana ruhusa ya kumwacha siku zake zote.
20 Lakini likiwa ni kweli neno hili, la kutoonekana kwake yule kijana alama za ubikira;
21 na wamtoe nje yule kijana mlangoni pa nyumba ya baba yake, na waume wa mji wake wampige kwa mawe hata afe; kwa vile alivyofanya upumbavu katika Israeli, kwa kufanya ukahaba katika nyumba ya baba yake; ndivyo utakavyoondoa uovu katikati yako.

Aya hizo zinaonyesha jinsi gani Bikra ilivyo muhimu kwa watu makini. Mwanamke asiye na alama za ubikira humdhalilisha baba yake kwani inatafsirika alifanya ukahaba katika nyumba ya baba yake. Au huenda Baba yake ndiye aliyembikiri. Pia hufanya familia husika kuonekana ni familia ya kikahaba na uzinifu jambo ambalo ni aibu kwa familia na ukoo kwa ujumla.

Aya hizo pia zinaonyesha kuwa mwanaume anayohaki ya kudai bikira kwa mke wake endapo hajaikuta. Jambo ambalo kwa ulimwengu wa sasa wanawake wengi wasingeolewa na kuishia kuwa makahaba wa mjini.

Mambo ya walawi 21
13 Naye atamwoa mwanamke katika ubikira wake.
14 Asitwae mjane, wala mwanamke aliyeachwa na mumewe, wala mwanamke mwenye unajisi, wala kahaba; lakini atamwoa mwanamwali katika watu wake mwenyewe.
15 Naye asiwatie unajisi kizazi chake katika watu wake; kwa kuwa mimi ndimi Bwana nimtakasaye.

Aya hizo zinamhusu mtu yeyote makini, mwenye kumcha Mungu, anayetaka utakatifu na anayetaka ukoo na kizazi chake kiwe kitakatifu.

Ili familia isiwe najisi basi lazima mwanaume aoe mwanamke Bikra. Asioe mjane au mwanamke aliyeachwa na mtu mwingine au kuokota wanawake kwenye mabaa. Lengo ni kutokitia kizazi chake unajisi.

Kutokana na shetani kutamalaki, watu siku hizi huokota okota tuu wanawake popote. Wengine huokotana Baa na kwenye kumbi za starehe. Wengine huenda kabisa kwenye madanguro na kujichukulia wake ilimradi tuu. Watu wa namna hii hukutwa na madhila makubwa ndani ya ndoa. Kama si kuzaa watoto mashoga, basi ni wasagaji. Kama si wasagaji hupata watoto malaya na makahaba. Ni rahisi watoto kuzalia nyumbani kwani baba na mama ni wale wale tuu.

Hapo hapo utasikia mwanaume anakibamia au hana nguvu za kiume. Au mke wangu ana K kubwa au sio mtamu. Ulijuaje mkeo sio mtamu kama hukuwahi onja vya nje.

Mwenye jukumu la kulinda bikra ya mtoto ni nani?

Jibu ni moja, Ni mzazi.

Wazazi ndio watu pekee wenye jukumu la kuilinda bikra ya mtoto wao. Changamoto inatokea pale endapo Mama hakuweza kulinda bikra yake sembuse ya mtoto. Baba naye aliuziwa mbuzi kwenye gunia hawezi kuwa na muda huo.

Lutu alikuwa ni mzazi wa kiume lakini aliweza kujua kuwa mabinti zake ni bikra. Utajiuliza alijuaje? Ni rahisi kwa baba mwenye kujali familia yake kujua kinachoendelea kwa watoto wake lakini wababa wazembe na wanaoaibisha ubaba wao huuliza maswali yakijinga kama mimi ni baba nitawezaje kulinda bikra ya binti yangu. Jibu ni kuwa huwezi ikiwa mwenyewe ulichukua mtu asiye na bikra.

Kwa upande wa wachungaji, maaskofu na mapastor, hii kwao ni moja ya sheria kubwa na muhimu. Mchungaji hawezi kukamilika ikiwa amechukua mwanamke aliyeguswa na mweingine. Ndio maana baadhi ya Wachungaji wa siku hizi wapo wapo tuu. Hawana tofauti na watu wa mitaani.

Nawasilisha.

Nakaribisha hoja na mapovu yenye hoja pia. Hoja zijikite kwenye maandiko ya kwenye biblia.

==============

Kwa nini maaskofu/ wachungaji hawaoi bikra; Je, wameasi kanuni zao?

===============

Somo Muhimu la Kuhusu Bikra

===========

Mwanamke Bikra ndiye Mke bora

=========

Bikra ni kapu la ndoa

===============

Madhara makuu ya kuoa mwanamke asiye na bikra

================

Kuoa mwanamke bikra sio kinga ya mkeo kutokukusaliti
Bikra ni tunu, ukioa bikra , una zaidi ya majumba na dhahabu za dunia.
 
Ukweli kabisaaaaa! Na watu siku hizi wanapinga ukweli huu kwakuwa mtaani wamejaa wanawake ambao hawana bikra. Lakini kama watu wote wangeamua kuwa na msimamo kuwa mwanaume lazima aoe bikra nadhani Leo hii mtaani kungeanza kuwa na tabia njema.
Lakini kitabia bado ni janga kwani waweza pata binti bikra lakini alizaliwa na mwanamke ambaye hakuwa bikra wakati anaolewa, hivyo tabia zaweza endelea.
 
Walawi 21:13-14 Naye atamwoa mwanamke katika ubikira wake.
14 Asitwae mjane, wala mwanamke aliyeachwa na mumewe, wala mwanamke mwenye unajisi, wala kahaba; lakini atamwoa mwanamwali katika watu wake mwenyewe.

Tunakumbushana tu mjane ni yule aliyefiwa na mme wake period!

Wewe kama ulijichanganya ukaoa mke wa mwanaume mwenzio sio shida zetu. Ataendelea kupakuliwa tu mbaya zaidi uoe aliye zalishwa na mwanaume mwenzio.

Hatupo hapa kutetea uzinzi, umalaya&ukahaba tupo hapa kusemea ukweli wote.

Mabinti tunzeni bikira zenu sisi tutaendelea kuwaambia ukweli iwe kwa lugha ngumu au laini lakini hakika tutasema tu.

???..
 
WANAUME TUNAJIONAGA SISI NI SPECIAL SANA YAANI HAPO UNATAKA BIKRA ILA WEWE MWENYEWE SIO BIKRA USHAVIFUNUA CHUPI VITOTO VYA WATU KAMA 20 UKAVIACHA ALAFU UMEKUWA MZEE UNAANZA KUPIGA JARAMBA UNATAKA BIKRA WALE ULIOWACHEZEA AKAWAOWE NANI?

UNAKUTA MWANAUME USHAZALISHA WATOTO WA WATU ALAFU UNAKUJA KUSEMA HUTAKI MWANAMKE MWENYE MTOTO

BIKRA UKIITAKA HAKIKISHA HUJAWAHI CHEZEA VITOTO VYA WATU UKAVIACHA LA SIVYO CHONGA WA KWAKO UMUWEKE NDANI
 
Vitabu hivyo vya Dini Viliongelea Mazingara yaliyokuwepo kipind hiko.

Mazingira na wakat tuliopo umebadilika sana. Na pia utabadilika zaidi...

1. Utakuta kuna wanaume wakubwa wanatongoza na kurubuni vitoto vidogo,.
Wanawatoa bikra na kuwaacha.

2. Umri wa kuolewa kwa wanawake umesogea mbele zaid, kimaumbile inatakiwa akiwa na miaka 16 kwenda mbele aolewe na azae kabla ya miaka 30.
Sasa sikuhizi wao wenyewe wanaamua kuolewa wakifika 25+ . Na jamii inaona sawa.
Sasa Utamkuta bikra kweli?,

3. Wanaume na sisi tunachelewa kuoa, ilitakiwa ukiwa na miaka 18 uoe mwanamke bikra wa mika 15/16 hiv. Unaanza nae.
Sasa sasahiv mwanaume ana miaka 30 na hajaoa na hana Dalili kabisa ya kuoa .
(Maamuzi binafsi au maisha majukumu ya kulea familia anaona hatayamudu)

hivyo, kuoa Bikra sio ishu sana na Tusiipe Kipaumbele kwa wakat huu tuliopo.

Ila pia Wanawake wajitunze na wawe na Heshima kwa wanaume, wasivue vue chupi hovyo na wasitaman kuwa na vitu ambavyo wanahisi wakiwa na wanaume basi wanavipata. Waridhike na wanaume wao ambao Mungu amewaletea.
Mwanaume akikupenda na ukampenda na ww bas akajitambulishe na kukuoa. Na sio kusema Muda bado.
 
Unaweza kuta hana bikra ya matako ingawa mbele pameziba

So, ujuaji mwingi sio conclusion

FB_IMG_1746096990562.jpg
 
WANAUME TUNAJIONAGA SISI NI SPECIAL SANA YAANI HAPO UNATAKA BIKRA ILA WEWE MWENYEWE SIO BIKRA USHAVIFUNUA CHUPI VITOTO VYA WATU KAMA 20 UKAVIACHA ALAFU UMEKUWA MZEE UNAANZA KUPIGA JARAMBA UNATAKA BIKRA WALE ULIOWACHEZEA AKAWAOWE NANI?

UNAKUTA MWANAUME USHAZALISHA WATOTO WA WATU ALAFU UNAKUJA KUSEMA HUTAKI MWANAMKE MWENYE MTOTO

BIKRA UKIITAKA HAKIKISHA HUJAWAHI CHEZEA VITOTO VYA WATU UKAVIACHA LA SIVYO CHONGA WA KWAKO UMUWEKE NDANI
Hata hivyo Mwanaume ni special tangu kuumbwa kwa ulimwengu huu.

Kuna baadhi ya hospital mkunga aliyekuwa anabahatika kuzalisha wanaume alikuwa anapewa pesa.

Huku nilipo mimi nimesikia wamama wakisema ukiwa na mtoto wa kiume kadi ya kliniki unapewa bure (kwa sasa wana kitabu japo mimi sijawahi kukiona) ila ukiwa na mtoto wa kike unaambiwa ukanunue daftali uandikiwe humo taarifa za mtoto wako!

Bado una bisha mwanaume hana uspecial?

Kinachowasababisha bikira ziwatoke ni tamaa zao wengi bikira zinaondolewa kwa chips kavu tu wakiwa la7 hadi form3

Usiwatete kabisa wakumtetea aliyebakwa na bikira yake!!
 
Masimp kama wewe mnapendwa sana na wakina dada wa kisasa, hata hii comment yako bila shaka itapata likes nyingi kutoka kwa wakina dada.

Anyway, wewe oa mtumba, tuache sisi tuoe bikira
 
Hata hivyo Mwanaume ni special tangu kuumbwa kwa ulimwengu huu.

Kuna baadhi ya hospital mkunga aliyekuwa anabahatika kuzalisha wanaume alikuwa anapewa pesa.

Huku nilipo mimi nimesikia wamama wakisema ukiwa na mtoto wa kiume kadi ya kliniki unapewa bure (kwa sasa wana kitabu japo mimi sijawahi kukiona) ila ukiwa na mtoto wa kike unaambiwa ukanunue daftali uandikiwe humo taarifa za mtoto wako!

Bado una bisha mwanaume hana uspecial?

Kinachowasababisha bikira ziwatoke ni tamaa zao wengi bikira zinaondolewa kwa chips kavu tu wakiwa la7 hadi form3

Usiwatete kabisa wakumtetea aliyebakwa na bikira yake!!
Kuna masuala mawili ambayo huwa nashindwa kabisa kuyaelewa.
-inakuaje mwanaume anaoa mwanamke ambae tayari ashatumika?
-inakuaje mwanaume anakubali kuwa baba wa kambo?

Hayo masuala mawili hayajawahi kabisa kuniingia akilini. Fikiria mpo faragha halafu mwanamke anakulinganisha na maex wake, fikiria mwanamke anakuangalia unacheza na mtoto wake ambae amezaa na mwanaume mwingine. Just imagine jinsi anavyokuona mjinga.
 
Back
Top Bottom