Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

WANAUME TUNAJIONAGA SISI NI SPECIAL SANA YAANI HAPO UNATAKA BIKRA ILA WEWE MWENYEWE SIO BIKRA USHAVIFUNUA CHUPI VITOTO VYA WATU KAMA 20 UKAVIACHA ALAFU UMEKUWA MZEE UNAANZA KUPIGA JARAMBA UNATAKA BIKRA WALE ULIOWACHEZEA AKAWAOWE NANI?

UNAKUTA MWANAUME USHAZALISHA WATOTO WA WATU ALAFU UNAKUJA KUSEMA HUTAKI MWANAMKE MWENYE MTOTO

BIKRA UKIITAKA HAKIKISHA HUJAWAHI CHEZEA VITOTO VYA WATU UKAVIACHA LA SIVYO CHONGA WA KWAKO UMUWEKE NDANI
Ajenda ni wanawake kujitunza full stop 🛑
 
Mtoa mada hebu njoo huku niliko uone kama utapata bikira.Unategemea nini mwanamke anaendesha baiskeli amepakia gunia la mahindi na ndio kazi yake hiyo bikira utaikuta wapi?
Maana ya neno bikira ni mwanamke ambaye hajaingiliwa kingono ile ngozi pale inaitwa hymen inaweza toka kwa njia mbali mbali mfano mazoezi na kazi ngumu.

Mambo ya biblia ni enzi za kizamani dunia imebadilika zamani mwanamke alikuwa wa kukaa nyumbani mwanaume ndio anayetoka kuhangaika.Siku hizi kibao kimegeuka hata wanawake wanatoka kutafuta maisha.Hebu niambie ajira hakuna kuna baadhi ya wanawake wanatoka kwenda kupiga kibarua kupiga zege hiyo bikira utaipatia wapi.

Kuna kauli moja naomba uirekebishe hapa kuwa mtu anaishia kwenda kwenye ma bar na madanguro anampa mwanamke mimba malaya anaishia kuzaa watoto mashoga na wasagaji.
Kwa taarifa yako kuna baadhi ya watoto wa Masheikh,wachungaji na ma askofu wanakuwa na tabia za umalaya wa kutisha naomba uteme chini kwa kauli hii.

Nitatoa mfano Askofu Desmond Tutu RIP alikuwa na binti yake mmoja alikuwa anashiriki mapenzi ya jinsia moja hilo unasemaje.
Wapo watu ambao wamezaliwa na mama ambaye ni kahaba na mtoto amezaliwa kwa njia hiyo baadae mtoto wake anageuka na kuwa mtu maarufu sana na kiongozi.Wako maraisi wawili wa marekani wametokea kwa wazazi wa aina hii.Kuna mwanamke anaweza kuwa na tabia za ukahaba sio kwa kupenda ila mazingira mfano amezaliwa wazazi wake wote wakafariki akiwa mdogo na ndugu wakashindwa kumtunza ukimpata huyo ukamuweka ndani anaweza kuwa mke bora kuliko huyo bikira wako unayemtolea vifungu.

Kwanza kumuingizia mtoto vidole kisa unaangalia ubikira ni udhalilishaji anaweza kukushitaki
Na kwanini tunawasema wanawake kama ni makahaba je wanafanya ukahaba na kina nani kama sio wanaume nao tuseme ni makahaba basi.

Jiulize wewe swali hili kama umeoa je mkeo ulimkuta bikira?.Mama yako wakati anaolewa baba yako alimkuta bikira? najua hili huwezi uliza swali hili.Kama baba yako hakumkuta basi hata wewe mtoa mada tutatafsiri umezaliwa na mwanamke Kahaba.Je una watoto kama unao unajuaje ni ma bikira?

Ukimfungia kuku asubuhi kisha jioni saa 12 hebu mfungulie uone anavyokula kwa haraka hadi majani sababu ana njaa na anajua jua linazama.Sasa hii ndio hutokea ukimbana binti yako sana ndani getini kisha unachunga ubikira wake.
Shawahi soma hadithi moja binti mmoja mwana mfalme alikuwa anawekwa ndani tu akawekewa walinzi lakini akapata ujauzito.

Napata wazo kumbe ndio maana kuna agano la kale kisha likaja agano jipya kuweka mambo sawa
 
bikra sio muhimu
 
Habari wana JF.

Nilipata mwanamke Bikra na nipo nae mpaka Sasa lakini nimeshapata red flag kutoka kwake so nasadiki kusema "Ndoa sio Bikra na Bikra sio ndoa", Kwa lifestyle la sasa au generation hii wakuu hata mwanamke bikra ni mjanja mjanja vilevile, ingawa yeye nyeti zake zinakuwa hazijasoma kilometer nyingi ila ni walewale tu. Nasema hivyo wakuu Kwa sababu zifuatazo.

katika harakati za kufanya vitu Kwa kuzingatia ubora nikaona niitafute mwanamke bikra na kweli nilifanikiwa kupata kitu new kabisa hakijaguswa kabisa hata maziwa(chuchu) zake zilikuwa zimesimama ileile yani Kama akikukumbatia Kwa nyuma hivi basi chuchu zake lazima zitakuchomachoma mgongoni vijana wanasema chuchu saa sita.

Tumeenda vizuri na tupo vizuri ila Kuna maswali ambayo amekuwa akiniuliza naona kabisa soon naenda kumkosa(tutaachana) kwa sababu huwa sivumilii mwanamke aki-cheat.

Maswali hayo ni haya.

1. Hivi wanaume wote ni watamu Kama wewe (hii ni red flag Kwa sababu anashahuku ya kujua na ili apate majibu ni lazima acheat sijajua na kamfundisha kuwa Kuna wanaume watamu na wachachu/wakali).

2. Hivi wanaume wote wa uume mkubwa Kama wako (sijajua uume Mdogo aliuona wapi. Kwangu Mimi naona ni red flag sijui kwenu wakuu).

3. Hivi Kama nikilala na mwanaume mwingine unaweza kugundua/kuona utofauti kwenye sehemu zangu nyeti (hapa tulikuwa tunapiga story kuhusu kuchepuka Kuna jirani alikuwa anapigwa kisa kachepuka hii pia naona ni red flag sijui kwenu wakuu).

Sasa kupitia maswali machache hapo juu nahisi atakuwa na maswali mengine mengi zaidi ya hayo so naona kabisa anashahuku ya kupata majibu na majibu ili yapatikane ni lazima acheat so soon nagongewa wakuu na naona kabisa haliepukiki hili sio kwamba hatosheki naona anaudadisi wa kimalayamalaya .

Hivyo basi wazee me naona tuoe tu hata Kama sio bikra kwani bikra sio ndoa na ndoa sio bikra. Hasahasa hawa bikra wa miaka hii ni malayamalaya yani wana mawazo ya kimalaya malaya hivi.
Pole sana mkuu hamia Kataa ndoa
 
Zamani nilikua sijui hata kutoa bikra na sikuwahi kupata alie bikra, mwaka Jana nimepata demu bikra nilihangaika mpaka kuja geto ilichukua mwezi mzima, kwenye kuitoa Sasa Kila nikijaribu anatoka kelele mpaka mafua yanamtoka ilinichukua siku tano nzima mpaka nafanikisha, ikawa ananililia na wivu kupitiliza mpaka nikadumu nae miezi minne nikamtema ila Cha kushangaza nikimwita getoni hata awe wapi anakuja na nanipenda sana , Sasa nauliza ni kweli huyu hata kuja kunisahau daima? Hata akipata bwana mwingine atakae mjali kuliko Mimi nilivyomjali?
Wajuzi nielimisheni hapa na mademu semeni bikra ndio inamaumivu kiasi hicho kwenye kutolewa au mnajifanyisha?
 
Hayo mawazo huwa yanawasaidia kitu gani?Bikra imekupa nini cha kuonesha maishani ambacho wengine hawana?
Mwanamke bikira anakuja kwako na purity, insured womb, zero emotional baggage, sexual discpline, no spiritual complexity e.t.c. Niambie mwanamke alietumika anakuja na faida gani kwako?
 
Sina namna ya kubadilisha mtazamo wako zaidi ya kukueleza uendelee nao.
 
Unanismrisha kama nani?Huna kazi/ajira ya kufanya,wakati mimi nachagua la kufanya.
Usipaniki mdogo angu. Topic haihusiani na masuala ya kazi/ajira. Umetaka uniquenesses za kuoa bikira umepewa. Nawe tupe uniquenesses za kuoa mwanamke ambae ashatumika
 
Back
Top Bottom