Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Inashangaza sana mtu anaelezea msimamo wake kuwa Mimi wakuu siwezi kuoa mwanamke asiye na bikira wanawake used na wanaume walioa used wanakasirika hadi kuanza kutoa laana kwenye msimamo wa mtu.

Mkuu kama ulikubali either ukaoa mwanamke mwenye mtoto au asiye na bikira na ukatoa mahali wewe ni Moja ya wanaume wapumbavu sana duniani na mbinguni utake usitake Bado utakuwa mpubavu tu.


Hakuna mbadala
 
Sasa lengo lake la kutuambia sisi ni lipi? Anataka tumtafutie Mwanamke bikira?
Kama ni msimamo wake si abaki nao mwenyewe?
 
Hakuna mbadala
Wazee wa mitumba hatuoi brand new tutaoa mitumba maana ndio inayotufaa zaidi sihitaji mwenye bikra nahitaji mwenye K ndogo inayobana mishipa ya nanii hio ni zaidi ya bikra maana sipendi na sitaki kuogelea, kwenye pitapita zangu nikiwa natembea kuna kamanzi kabikra kabiichi sana kalikua kametangulia mbele yangu basi nikiwa kwenye harakati za kutupa ndoana mbele kidogo kuna vijamaa vilikua vimekaa kwenye bench vinapiga story nikawa nawasikia kwa mbali na moja ya story ni kuhusu manzi bikra wa mtaa wa pili ambae alikua mkali balaa ila baada ya kupigwa mimba wanasema akabadirika ule urembo na uzuri wote ukachuja nikaishia kutuliza akili dizain km jamaa walikua wananipa ishara kua huyo unamuona mkali leo ila mpe muda akishabeba mimba huo urembo wote na hio bikra vinaenda anakua km wengine tu
 
Kwa trends ninayo iona uraiani na mtaani, hizo bikra ni kutafuta kwa [emoji363],
Watoto wanaanza mapenzi toka wakiwa std 5, hizi bikra wakati wa kuolewa wanazitoa wapi??

Simaanishi hawapo wenye nazo, ila ni wachache sana. Lol
 
Hali ikoje huko majumbani kwenu mliooa wanawake mabikra? Je anakuheshimu kisa wewe ni mwanaume wake wa kwanza? Hajawahi kuchepuka,hao wanawake walio olewa na bikra zao hawajawahi kuachika? Leo naomba mnao sapoti wanaume waoe mabikra tu mtuambie,je huko ndoani hali ikoje?
 
Back
Top Bottom