Binafsi naonaga Kuoa bikra Kuna asilimia kubwa ya kuachwa kuliko kuoa ambae sio bikra.
sababu ya kwanza , wanawake ni kama watoto wanapenda kujaribu, sasa unapomtoa wewe uanamuumiza, na kama HUJUI mapenzi yawezekana kila siku ukawa uanamuumiza tu asifutahie mapenzi.
Kwahyo anapoona watu wanasifia utamu wa mapenzi yeye atajiuliza mbona haupati? Sasa atakachokifanya ni kujaribu nje akidhani kua wewe ndio tatizo.
Sababu ya pili, Ukioa bira ambae kidogo ana ka age, mfano miaka 18-21, Hawa wanakuaga na ma boyfriend wao au watu wanaowapenda, ila hawakufanya mapenzi kwa kuhofia hatma za maisha yao, maana unaweza kuta kijana haeleweki kimaisha au kimsimani, kwahyo wanazungushana, hapo ujute Binti katika familia yenye msimamo.
Kwahyo hapo wamewekana kipoto, siku atakae oa alifungua tu mlango basi anampelekea na boyfriend wake.
Sasa basi. Kuoa bikra sio suluhu mkuu, kuelewana' ndio suluhu. Bikra sio kipimo cha uaminifu.