Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra



Mahari hupangwa kama mwanamke hana bikra. Mwanaume anaouamuzi wa kutoa mahari au asitoe ikiwa hakukuta bikra. Tafsiri yake ni kuwa kutokukutwa bikra huweza hatarisha ndoa kwa wawili wapendanao.

Vijana wasiku hizi wanajifanya wanajua mambo kumbe hamna wanachojua matokea yake ndio haya
 
Kama hujawahi kutoa bikra una haki ya kulalamika?
 
Mzee baba mbona unaingia afu unatoka


Mara unatamani Mara hautamani

Mara ni mzuka Mara sio mzuka
Be real to your self bro
Ikitokea nimepata bikra its OK...Lakini Kamwe SIWEZI kuhangaikaa na kusumbuka eti natafuta Mke bikraa...Au nishindwe kumuoa Manzi kisa sio Bikraa...!! Bikra ni by the way sio jambo LA Msingi kwanguu.

Ndo maana nashangaa mpaka watu wanaanzisha Uzi kuponda watu walioa girls ambao sio bikra ni Ubashiteee...
 
Ni ubashite.....?

Si unaona wanavyotoa ya moyoni Leo na wanawake wanavyopita kimya kimya na wengine wanatoa mapovu ndo utajua ni ndoto ya wanaume hiyo,otherwise ni kujifariji tu
 
Ni ubashite.....?

Si unaona wanavyotoa ya moyoni Leo na wanawake wanavyopita kimya kimya na wengine wanatoa mapovu ndo utajua ni ndoto ya wanaume hiyo,otherwise ni kujifariji tu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ni kweli lakini sio Kwamba Kuoa alietumika ni Kosaa...Au waliotumika tayari hawafai kuolewaa.. Huo ni uzwazwaa mwanaume kukaa unalilia Mwanamke Bikraa...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nikikutia na nkakukuta bikra hata kama nshatoa mahar narudi kwenu kuongeza nyingine, what a reward?

Na kwa kadri ya uwezo Wangu hakuna mapenz utaacha kuona wala care ya hali na mali

Unatuzungumziaje tunaooneshwa care na mapenzi yote ikiwa hatujakutwa bikra? Huoni kama mtazamo wa maisha unatofautiana? Kuna wanaong'ang'aniwa na hawajakutwa bikra hilo pia mnalisemeaje? Au ndo mnaita aina hiyo ya wanaume kuwa ni "Wajinga". Mimi ni mwanamke naongea kwa experience nyinyi ni wanaume mnawasemea wanaume wengine ambao si wote wapo humu ama si wote wamechangia mjadala huu,

Najaribu kufikiria tatizo hapa ninini, fikra zangu zinaniambia Shida ya vijana wadogo (ambao wengi wanaendesha mjadala huu ) ni hii, mioyo imekufa ganzi, hamna hisia za kupenda, kwanza mna hustle na mengi, hamuamini kama mnaweza kupendwa hivyo hivyo mlivyo pasina kujiweka accessories zikamilishe kujiamini kwenu. Mnaogopa sana kulinganishwa, ndio maana mnawasaka mabikra kwakuwa hawana chakulinganisha, kikawaida mtu asiyejiamini ukimlinganisha na mwingine unamuondolea kujiamini kwake, kwasababu kujiamini kwake kuna mashaka makubwa, Kingine wasichana wa umri wenu hawawataki ndio kabisa kunawavua kujiamini. Ndio yanaibuka ya ohh used mara makombo n.k

Mi nina ushauri mdogo tu kama dada yenu tafuteni maisha, mpate pesa, mkue kidogo maana ni wazi with age comes wisdom. Itafika muda katika maisha unajiweza basi automatically moyo unafunguka unampenda mtu bila vigezo vingi, sio kwamba sasa hampendi hasha! mnapenda sana ila mna mashaka yakupendwa back. Ok ama sivyo chukueni wasichana wadogo sana 18-21.

Mnaanza kuwakuza taratibu ikiwa nanyi mnakua, mnaongeza age, kipato, wisdom etc itafika time mnapatana sana. Ila ndo mkiwachukua wakiwa wadogo hakikisheni mnawaoa baadae 😂 Hizi ni fikra zangu binafsi sio lazima ziwe kweli, zinaweza kuwa uongo pia.
 
Sio kosa ila haukua mpango ndo hivyo imefeli tu,ndo maana wanafarijiana

Huu ni ukweli mchungu
 
Sio kosa ila haukua mpango ndo hivyo imefeli tu,ndo maana wanafarijiana

Huu ni ukweli mchungu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Sasa upate mwanamke mwenye sifa zote...uzuri mpaka tabiaa afu usimuoee kisa ulikuwa na mpango wa Kuoa bikraa...!?

Kuwa serious mkuu mambo ya Ubikra ni zamani siku hizi hata ukimshirikisha MTU kumwambia hiyi sababu atakuona falaa...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…