DA HUSTLA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 3,805
- 4,107
TofautishaEehe tumekubaliana wote wanadanganyikaa!
Wanadanganyika na wanaweza kudanganyika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TofautishaEehe tumekubaliana wote wanadanganyikaa!
Heeeeeeeee mi haya mambo siyajui ndio maana nashangaa ujue. Kwamba hadi kwenye kafara wanachaguliwa mabikra? Ni wapi huko hufanya hivo?
Mahari inapangwa kulingana na kipato cha mwanaume ambacho msichana anakifahamu na humwambia mama kwa siri na mama hupeleka kwa baba, baba huwaambia wazee, Sijawahi sikia mahari inapangwa kubwa kwasababu ya bikra. Mkuu tunaishi kwenye ulimwengu mmoja kweli??
Kuna sehemu mwanamke hutoa mahari huko nako vipi?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Haya mkuu Oa bikra ukiamini hadanganyikii...afuu utaonaTofautisha
Wanadanganyika na wanaweza kudanganyika
Mzee baba mbona unaingia afu unatokaHAKUNINYIMI AMANI KABISAAA NA HAKUTAKUJA KUNINYIMA AMANI...!
Kama hujawahi kutoa bikra una haki ya kulalamika?Acha ujinga ww umewatolea wangap bikra na ukijua kabsa hujawaoa na unafikir hao uliowatolea ww bikra wataolewa na nan nyinyi mnawatoa wanawake bikra kwa ushawishi mkubwa tu halafu unakuja hapa unaongea ujinga. Labda uwe hujawahi fanya hicho kitendo lkn kama umeshawah mtolea mwanamke bikra na hujamuoa hakika huwez oa bikra
Ikitokea nimepata bikra its OK...Lakini Kamwe SIWEZI kuhangaikaa na kusumbuka eti natafuta Mke bikraa...Au nishindwe kumuoa Manzi kisa sio Bikraa...!! Bikra ni by the way sio jambo LA Msingi kwanguu.Mzee baba mbona unaingia afu unatoka
Mara unatamani Mara hautamani
Mara ni mzuka Mara sio mzuka
Be real to your self bro
Ndio.....
Poa Mkuu wewe oa used ukiamin utamtuliza afu tutafutane after 10 years tupeane mrejesho[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Haya mkuu Oa bikra ukiamini hadanganyikii...afuu utaona
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Haya mkuu safari njema...!Poa Mkuu wewe oa used ukiamin utamtuliza afu tutafutane after 10 years tupeane mrejesho
Yer Huyo ambae hajatoa anaweza lalamika make hajahusika kweny uharibifu n stahiki yakeKama hujawahi kutoa bikra una haki ya kulalamika?
Ni ubashite.....?Ikitokea nimepata bikra its OK...Lakini Kamwe SIWEZI kuhangaikaa na kusumbuka eti natafuta Mke bikraa...Au nishindwe kumuoa Manzi kisa sio Bikraa...!! Bikra ni by the way sio jambo LA Msingi kwanguu.... Ndo maana nashangaa mpaka watu wanaanzisha Uzi kuponda watu walioa girls ambao sio bikra ni Ubashiteee...
Ngoja waendelee na mining ya kutafuta mabikra ndoto zitimie na mioyo isuuzikeYer Huyo ambae hajatoa anaweza lalamika make hajahusika kweny uharibifu n stahiki yake
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ni kweli lakini sio Kwamba Kuoa alietumika ni Kosaa...Au waliotumika tayari hawafai kuolewaa.. Huo ni uzwazwaa mwanaume kukaa unalilia Mwanamke Bikraa...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ni ubashite.....?
Si unaona wanavyotoa ya moyoni Leo na wanawake wanavyopita kimya kimya na wengine wanatoa mapovu ndo utajua ni ndoto ya wanaume hiyo,otherwise ni kujifariji tu
Nikikutia na nkakukuta bikra hata kama nshatoa mahar narudi kwenu kuongeza nyingine, what a reward?
Na kwa kadri ya uwezo Wangu hakuna mapenz utaacha kuona wala care ya hali na mali
Sio kosa ila haukua mpango ndo hivyo imefeli tu,ndo maana wanafarijiana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ni kweli lakini sio Kwamba Kuoa alietumika ni Kosaa...Au waliotumika tayari hawafai kuolewaa.. Huo ni uzwazwaa mwanaume kukaa unalilia Mwanamke Bikraa...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Sasa upate mwanamke mwenye sifa zote...uzuri mpaka tabiaa afu usimuoee kisa ulikuwa na mpango wa Kuoa bikraa...!?Sio kosa ila haukua mpango ndo hivyo imefeli tu,ndo maana wanafarijiana
Huu ni ukweli mchungu
Mengine tunamuachia baba na mama [emoji16][emoji16][emoji16]
Tayari umeolewa au milango ya uchumba ipo wazi?!
MimiNaomba kuuliza wangapi walifika miaka 20 wakiwa na bikira zao?!
Pole juu ya nini??Pole sana