Watu wanafuata sheria za Mungu na si mtu iwe Nabii, mtume, kuhani au malaika anavyoishi. Soma biblia kwa akili
Haswa na ndio kanuni Mkuu. Sharti awe mke wa kuhani aliyefariki.
Sawa mkuu...nimeelewa...ila siyo lazima aoe bikira anaweza oa mjane aliyeachwa na kuhani pia
Mimi naona sahivi wanafanya mambo kwa kuona kwamba wanaenda na wakati..ila kwa Mungu hakuna fashion....au pengine hili neno watu wanalitafsiri kivingine kwamba mwanamke awe bikira kiroho na si kimwili ...awe tu mwenye hofu ya Mungu...huenda makuhani wa sasa hivi wanalitafsiri hivi hili neno mkuuNakubali kabisa. Tuje kwa zama hizi je jambo hilo limegeuka simulizi isiyoya kweli kiasi kwamba ndugu zetu wanashindwa kutimiza kanuni zote za Kikuhani?
Hivi unamjua kahaba Rahabu na alikuja mzaa nani kasome kwanza Bible, Ruthu alikuwa mjane lakini aliolewa na Boazi babu wa Yese kisha mfalme Daudi? kasome kitabu cha Ruthu
Mimi naona sahivi wanafanya mambo kwa kuona kwamba wanaenda na wakati..ila kwa Mungu hakuna fashion....au pengine hili neno watu wanalitafsiri kivingine kwamba mwanamke awe bikira kiroho na si kimwili ...awe tu mwenye hofu ya Mungu...huenda makuhani wa sasa hivi wanalitafsiri hivi hili neno mkuu
Ni mawazo yangu tu.
Juu ya kuoaKama ipi? Maana swali lako halijajitosheleza. Unaelimu ya dini lakini Mkuu?
Hakutamka moja kwa moja, ila kuna haja gani ya kuoa kwa tatizo kama hili?Kwani Yesu alikataza watu asioe?
Hivyo vijamaa vikiona vidabananishwa kwa kwenda kinyume na mafundisho Yao huwa na kawaida ya kutafuta pa kuchomoka!!Mkuu unaelimu ya dini au umepotea njia? Embu eleza kwa ufupi sana Walawi ni watu gani achilia ishu ya wao kama moja ya kabila ya waisrael?
Alafu uje uniambie kuwa Ezekiel naye alikuwa anawaambia wakinani? Kila la kheri katika kujibu.
wewe unawafahamu wasichana wote wenye bikra?Kwani wanawaoa wanawake kutoka wapi mkuu, si wa huku huku mitaani kwa nini usijue.
Hakutamka moja kwa moja, ila kuna haja gani ya kuoa kwa tatizo kama hili?
Matayo 19:29
29 Na kila mtu ambaye ameacha nyumba au ndugu au dada au baba au mama au watoto au mashamba kwa ajili ya jina langu atapokea mara nyingi zaidi naye atarithi uzima wa milele.
Hivyo vijamaa vikiona vidabananishwa kwa kwenda kinyume na mafundisho Yao huwa na kawaida ya kutafuta pa kuchomoka!!
Ndio Kama hivyo Mambo ya walawi hayawahusu ati!!
hapana, mimi nikichokifanya nikutaka credibility ya hoja yako ndipo nichangie... Tukisha clear hapo ndipo ninaweza kutoa mawazo yangu juu ya hoja hii...Mkuu hivi mada unaielewa lakini au unaiunga mkono kuwa wanapaswa ndio maana makuhani wa sasa wanafanya hivyo si ndio?