Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Kama wao ni Wafuasi wa Yesu, kwa nini hawafuati mfano wa yeye alivyoishi?

Watu wanafuata sheria za Mungu na si mtu iwe Nabii, mtume, kuhani au malaika anavyoishi. Soma biblia kwa akili
 
Sawa mkuu...nimeelewa...ila siyo lazima aoe bikira anaweza oa mjane aliyeachwa na kuhani pia

Nakubali kabisa. Tuje kwa zama hizi je jambo hilo limegeuka simulizi isiyoya kweli kiasi kwamba ndugu zetu wanashindwa kutimiza kanuni zote za Kikuhani?
 
Hivi unamjua kahaba Rahabu na alikuja mzaa nani kasome kwanza Bible, Ruthu alikuwa mjane lakini aliolewa na Boazi babu wa Yese kisha mfalme Daudi? kasome kitabu cha Ruthu
 
Mimi naona sahivi wanafanya mambo kwa kuona kwamba wanaenda na wakati..ila kwa Mungu hakuna fashion....au pengine hili neno watu wanalitafsiri kivingine kwamba mwanamke awe bikira kiroho na si kimwili ...awe tu mwenye hofu ya Mungu...huenda makuhani wa sasa hivi wanalitafsiri hivi hili neno mkuu

Ni mawazo yangu tu.
 
Mkuu, kwani Rahabu aliolewa na Kuhani mbona unaenda kinyume na mada. Rahabu namfahamu sana.
 
Hivi unamjua kahaba Rahabu na alikuja mzaa nani kasome kwanza Bible, Ruthu alikuwa mjane lakini aliolewa na Boazi babu wa Yese kisha mfalme Daudi? kasome kitabu cha Ruthu

Hicho Kitabu cha Ruth unamiaka mingapi Hujakisoma Mkuu?
 
Mimi naona sahivi wanafanya mambo kwa kuona kwamba wanaenda na wakati..ila kwa Mungu hakuna fashion....au pengine hili neno watu wanalitafsiri kivingine kwamba mwanamke awe bikira kiroho na si kimwili ...awe tu mwenye hofu ya Mungu...huenda makuhani wa sasa hivi wanalitafsiri hivi hili neno mkuu

Ni mawazo yangu tu.

Mkuu hizo ni porojo za watu kutaka kuhalalisha mambo. Ni sawa na kusema eti mtu anaruhusiwa kuzini kimwili lakini kiroho haruhusiwi. Namaanisha kuzini kiroho ni kuwa na miungu mingine mbali na Mungu. Na kuzini kimwili ni kutembea na mwanaume/mwanamke asiyemke au mume wako.
 
Kwani Yesu alikataza watu asioe?
Hakutamka moja kwa moja, ila kuna haja gani ya kuoa kwa tatizo kama hili?

Matayo 19:29

29 Na kila mtu ambaye ameacha nyumba au ndugu au dada au baba au mama au watoto au mashamba kwa ajili ya jina langu atapokea mara nyingi zaidi naye atarithi uzima wa milele.
 
Mkuu unaelimu ya dini au umepotea njia? Embu eleza kwa ufupi sana Walawi ni watu gani achilia ishu ya wao kama moja ya kabila ya waisrael?

Alafu uje uniambie kuwa Ezekiel naye alikuwa anawaambia wakinani? Kila la kheri katika kujibu.
Hivyo vijamaa vikiona vidabananishwa kwa kwenda kinyume na mafundisho Yao huwa na kawaida ya kutafuta pa kuchomoka!!
Ndio Kama hivyo Mambo ya walawi hayawahusu ati!!
 
Hakutamka moja kwa moja, ila kuna haja gani ya kuoa kwa tatizo kama hili?

Matayo 19:29

29 Na kila mtu ambaye ameacha nyumba au ndugu au dada au baba au mama au watoto au mashamba kwa ajili ya jina langu atapokea mara nyingi zaidi naye atarithi uzima wa milele.

Mkuu sheria lazima ifafanue moja kwa moja ili kuondoa ukinzani.
 
Hivyo vijamaa vikiona vidabananishwa kwa kwenda kinyume na mafundisho Yao huwa na kawaida ya kutafuta pa kuchomoka!!
Ndio Kama hivyo Mambo ya walawi hayawahusu ati!!

Nimewaomba Aya lakini mpaka sasa hakuna aliyeleta zaidi ya maneno
 
Waache watumishi wa Mungu waoe kadiri wapendavyo.
Kama una dada mabikra niletee mimi nitawaoa,usiwalazimishe makuhani mara maaskofu nk.
NB: Wawe na original bikra.
 
Mkuu hivi mada unaielewa lakini au unaiunga mkono kuwa wanapaswa ndio maana makuhani wa sasa wanafanya hivyo si ndio?
hapana, mimi nikichokifanya nikutaka credibility ya hoja yako ndipo nichangie... Tukisha clear hapo ndipo ninaweza kutoa mawazo yangu juu ya hoja hii...
 
Back
Top Bottom