Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Wanaume hisia ziko juu Sana.

Akitunza uanaume eti mpaka miaka 30 Hadi aoe sabuni zitaumia Sana pamoja na uume kupinda Kwa punyeto.

Angalia wale maboy wanaoenda advance miaka miwili Tu lakin wengi wao hujichua

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi msiwanyooshee wanawake vidole,kam hisia zao ziko juu sana,wanazipunguzia wapi?si kwa wanawake ama?fair play
 
Na vipi kuhusu wanawake ambao waliolewa wakiwa ni bikra halafu waume zao wakafariki, je na hawa hawafai kuolewa tena kwa sababu sio bikra?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jokajeusi,

Kwanini suala la bikra limuhusu mwanamke tu? Kama ni suala la msingi sana kwenye ndoa kwanini lisimuhusu mwanamke tu wakati ndoa ni jambo linaloshirikisha watu wawili?

Halafu bikra ina maana gani hasa? Kwamba ikiwa una mwanamke ambaye amekuwa anaingiliwa kinyume na maumbile, yaani anatoa Tigo lakini hajawahi kutoa mbele kabisa, kwa hiyo bado ana hiyo kuta kwenye uke wake, mwanamke huyo ni bora zaidi kuliko ambaye hana bikra?

Nafikiri hizi ni athari za utamaduni dume kwamba ni sawa kwa wanaume kulala na dada za watu, kuwa toa bikra halafu wakati huo huo kutaka kuoa wanawake wenye bikra...usitake viwango kwa mwanamke ambavyo wewe mwenyewe hujavifikia!

Mambo yote uliyoelezea hapo yanapaswa kutoka kwa mwanamke na mwanaume.
 
Mpogoro,


Ikiwa mwanamke atalinda bikra. Eleza ni kwa kivipi mwanaume atalala na mwanamke kama sio kufanya ubakaji?

Hujui kuna sheria za ubakaji?

Mwanamke amepewa bikra kama alama ya uaminifu, Usafi na dalili ya mke bora.

Huwezi leta usawa hata siku moja ukafanikiwa baina ya mwanamke na mwanaume.
 
Chief naangalia ghala langu la silaha nikuongezee Ila naona zakwako ninzito sana...
Mkuu mwaka mpya lipua ukanda wa GAZA (Single mother)
Hao single maza walizalishwa na nani? Si nyie suruali mnakimbia watoto wenu!
Hebu fikiria baba yako akifariki SAA hii mama yako mzazi hataitwa single mother?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini wanaumia wameshindwa kutunza seal?

Sent using Jamii Forums mobile app


Baadhi wameshindwa.

Nikianzisha mada za hivi wengi wananipinga mno.

Lakini athari haziwaachi salama. Matokeo yake baadhi yao wamezalia nyumbani na bado hawajaolewa. Baadhi yao wametoa mimba jambo ambalo wangejitunza hata lisingetokea.

Mimi watanipinga lakini sitaacha kuwaambia ukweli.

Sasa Wanasema wanaume wasiwafuate, Kwani mwanaume ndiye anapata athari. Kwani mwanaume ndio anabikra ambayo ni ushahidi.
 
Kwenu wapi mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…