Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

JE, WAJUA ?
Ni vigumu sana kwa watu wenye mwenendo mpotovu kingono kuacha tabia hiyo eti kwa sababu wamefunga ndoa. Lakini kuna uwezekano mkubwa kwamba wale ambao ni washikamanifu kwa viwango vya Mungu vya maadili kabla ya kufunga ndoa watakuwa washikamanifu kwa wenzi wao baadaye.
 
Kwanini alimwacha huyo bikra tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watoa bikra halafu Hawaoi! Mnasababisha mabinti za watu wanatukanwa bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afadhali yako wewe mwanaume ulijisemea ukweli wa moyo wako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea jambo jema mkuu!
Sema zinaa kwa jinsi nilivyoelewa hapa iko kwa wanawake tu wanaume zinaa haiwahusu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu maisha ya sasa hasa kwa mjini kumpata mwanamke bikra ni kazi sana..hii tabia ya "shake before use" imeleta haya mambo kuwa magumu kama zamani

Pia usiamini sana kwamba ukikosa bikra ndio umekosa mke mwema au mahari yako umeitoa bure

Omba MUNGU akujaalie mke mwema siku zote HILI ndio la msingi sana.

Hapa jukwaani ukiuliza ni wanaume wangapi wametoa bikra utatupata
wachache sana.
 

Umeongea kitu sahihi kabisa.

Unaposema mke mwema unayemuomba kwa Mungu, moja ya sifa ya mke mwema ni kuwa na bikra sijui kama unalijua hilo. Ndio maana Makuhani waliagizwa waoe wanawake bikra ili wawe watakatifu. Pia wasioe wasio na bikra ili wasijetiwa unajisi nao.

Bikra ni moja ya alama za mke mwema. Usipotoshwe na waovu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…