Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

JE, WAJUA ?
Ni vigumu sana kwa watu wenye mwenendo mpotovu kingono kuacha tabia hiyo eti kwa sababu wamefunga ndoa. Lakini kuna uwezekano mkubwa kwamba wale ambao ni washikamanifu kwa viwango vya Mungu vya maadili kabla ya kufunga ndoa watakuwa washikamanifu kwa wenzi wao baadaye.
 
Unanikumbusha shemeji yangu mdogo alioa bikra basi akatangazia kila mtu alichokuja mfanya huyo mwanamke familia mpk leo imebaki na kidonda. Shemeji yangu ali divorce huyo bikra kaamua kuoa mjane mwenye mtoto mmoja so far wako vizuri ni Mwaka wao wa 12 wa ndoa. Ilankwa bikra walikaa miaka mitano. Siku zote huwa nawaambia vijana wangu usisikie story za vijiweni na tabia za wanawakr huwa hazina formula. Mwanamke ni kiumbe dhaifu sana anaweza danganyika na kitu kidogo sana mpk is hangar. Shida ya vijana wetu wamekaririshwa uongo mwingi sana.
Kwanini alimwacha huyo bikra tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilibahati kupata mwanamke akiwa form 6 bikra tukapenda na nikaitoa (nikikumbuka nacheka sana) alinipenda sana nilimpenda alifikia hatua ya kugombana na mama ake sababu yangu baada ya miaka 3 mbele akiwa UDOM nilishindwa kuvumilia kumsubiri nikamsaliti akaambiwa na wananchi alivyorudi mpaka leo hajawahi kuongea na mimi wala ukaribu, NB stori haina uhusiano na mada nimeiweka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Watoa bikra halafu Hawaoi! Mnasababisha mabinti za watu wanatukanwa bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ukweli mtupu. Najua mada yako ni mkuki moyoni kwawatu wengi waliooa wasio bikra na walioolewa bila bikra. Thamani ya mwanamke asiyemjua mwanaume ni kubwa sana. Binafsi natamani ningeoa bikra maishani mwangu, na uhakika ni kuwa natamani wakati naoa mimi mwenyewe ningekua sijamjua mwanamke. Kushiriki tendo la ndoa kabla ya ndoa ni jambo ambalo huwa linaniumiza japo siwezi rekebisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali yako wewe mwanaume ulijisemea ukweli wa moyo wako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dini unakataza Zinaa kwa jinsia zote, lakini nashangaaa wanaume wanaona ufahari kufanya Zinaa...na kuwaponda na kuwatukana wanawake wanaofanya Zinaa...Zinaa hairuhusiwi kwa jinsia zote, pia mwanaume anatakiwa Naye ajizuie kutofanya Zinaa... Hii sio kwa wanawake pekee.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea jambo jema mkuu!
Sema zinaa kwa jinsi nilivyoelewa hapa iko kwa wanawake tu wanaume zinaa haiwahusu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu maisha ya sasa hasa kwa mjini kumpata mwanamke bikra ni kazi sana..hii tabia ya "shake before use" imeleta haya mambo kuwa magumu kama zamani

Pia usiamini sana kwamba ukikosa bikra ndio umekosa mke mwema au mahari yako umeitoa bure

Omba MUNGU akujaalie mke mwema siku zote HILI ndio la msingi sana.

Hapa jukwaani ukiuliza ni wanaume wangapi wametoa bikra utatupata
wachache sana.
 
Mkuu maisha ya sasa hasa kwa mjini kumpata mwanamke bikra ni kazi sana..hii tabia ya "shake before use" imeleta haya mambo kuwa magumu kama zamani

Pia usiamini sana kwamba ukikosa bikra ndio umekosa mke mwema au mahari yako umeitoa bure

Omba MUNGU akujaalie mke mwema siku zote HILI ndio la msingi sana.

Hapa jukwaani ukiuliza ni wanaume wangapi wametoa bikra utatupata
wachache sana.

Umeongea kitu sahihi kabisa.

Unaposema mke mwema unayemuomba kwa Mungu, moja ya sifa ya mke mwema ni kuwa na bikra sijui kama unalijua hilo. Ndio maana Makuhani waliagizwa waoe wanawake bikra ili wawe watakatifu. Pia wasioe wasio na bikra ili wasijetiwa unajisi nao.

Bikra ni moja ya alama za mke mwema. Usipotoshwe na waovu mkuu.
 
Back
Top Bottom