Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Mkuu Bukoba hiihii (Kagera) tuijuayo kuanzia muleba,kaisho,karagwe,kimondo,benako,kabanga na mtukula?

Ngoja tuishie hapa ila usidanganye watu wanaopajua vizuri huko
 
Tukutane rwamishenye kesho jioni uje ufute hii comment yako. Tuzunguke kutazama maraya wa kihaya ndani ya uhayani
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bikra ni alama ya usafi na kutakata kwa mwanamke. Mwenamke aliyotolewa bikra na mwanaume asiye mume wake ni mchafu. Mwanamke aliye bikra anaweza kuhimili na kuvumilia vurumai nyingi za maisha kama alivohangaika kuitunza bikra yake mbele ya matamanio makubwa ya kimwili na hila za vijana. Kwa ujumla mwanamke anayeolewa bikra ni mbora mbele ya mumewe na uzao wake unaweza kuwa safi.

NB: Hata kama ulimtoa bikra wewe mwenyewe uliyemuoa lkn ilitoka mkiwa hamjapata ridhaa ya wazazi, huyo pia bado ni mzinzi na wala si msafi. Na uzao utakuwa bado ni uzao wa uzinzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kabisa
 
Bikira itatoka wapi?
1 Mtoto sasa anavaa pimpers
2. Chekechea anacheza ready
3. Shule aruke kichurachura.
4. Kuruka kamba
5. Jkt aruke vikwazo
6. Acheze karate misamba mingi
7. Agombee daladala apite dirishan
Binti yangu sasa hv anajifunza karate yuko kata ya 4 hapo kuna bikira kweli bikira iko moyoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Joka,hakikisha na wewe unahiyo bk, kujitunza ni kwa wote tu, siyo ile nyie mnaminya minya nyanya afu mnakuja nunua bilinganya. And kumbuka hiyo bk will not last long banaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Tangu lini mwanaume ana bikra? Wewe sema nami niwe mwaminifu nisifanye uzinifu lakini sio kusema nitunze bikra. Bikra ni alama alizonazo mwanamke ambaye hajawahi kufanya mapenzi. Nawe msomi hujui maana ya msingi ya bikra?
 
mkuu huoni unafanya erosion kabisa
 

Bikra ipo siku zote, Kinachoondoa bikra ni kitu kinachozama ukeni kama kidole, mbooo n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…