Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

This obsession with virginity is really scary. We have established your views on the matter. What's the point of repeating the same thing every day? Are you really okay upstairs? Blink twice if you are not.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona umeandika saana. G.mom

Mweeeh
Sasa kama unasema kuna maana "dokezi", huenda ndyo niliyotumia(did I told you ni maana ya msingi?)and ofcourse sihitaji iwe ya msingi for what? , lengo nilimaanisha wake kwa waume wajitunze wether wana alama or not,tusinyooshewe vidole wadada pekee sababu kuna alama nk. Hope you get my point Joka la blue, uwe na siku njemaa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This obsession with virginity is really scary. We have established your views on the matter. What's the point of repeating the same thing every day? Are you really okay upstairs? Blink twice if you are not.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sijui hata kama unajua lugha mama yako.

Nitarudia mara mia mia ili Suala hii liwe wimbo kwa kila mwanaume.

Nashukuru kwa maana tayari Sakata hili linapata kasi na limeanza kuw Gumzo kila pahala.

Wasio na bikra tutawaweka wawe wake wadogo ili angalau wasigeuke wachawi.
 
Alafu utakuta mtoa mada ni mallaya mbwa na kwao ndio yeye tuu wa kiume hao wengine wote ni wanawake zaidi ya 5 na wote wamezalishiwa hapo hapo nyumbani kwao


Kuna nzi na Nyuki Mzee.
Wewe kama ni timu kinyesi haina noma. Sisi wazee wa bikra tuachie vitu vipya
 
Huu mwaka bora uishe aysee maana singo maza mmeshikwa kila kona..
Ukiona upati mimba kumbuka historia yako..
 
Dhana potofu kabisa, yawezekana waishi kwenye dunia tofauti nasi, ujinga mtupu...
 
Hiyo imani ndio inayosababisha vibinti vya jamii fulani kuliwa tigo ili kulinda bikra. Sasa hapo sijui anakwepa nini? Kwanza wako wanawake hawana hiyo bikra kabisa ndio wamezaliwa hivyo.Zingine zinatoka zenyewe kwenye mazoezi na activities mbalimbali Kwa hiyo kama umepata demu mzuri wife material we oa tu acha propaganda . Utabaki mzee mpweke mwenye huzuni kisa unasaka bikra.
 
Endeeleni na ndoto za kutafuta mwanamke bikra dunia inaenda kasi sana , maisha yamebadilika tunaenda decade nyingine tutajionea mengi zaidi .wanaume hebu kubalianeni kuwa mamazetu walidumu kuwa bikra kwani waliolewa na umri mdogo dunia hii ya sasa mambo ni mengi muda mchache .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom