Mpogoro
JF-Expert Member
- Dec 7, 2008
- 387
- 58
Jokajeusi,
Wewe kweli hujielewi...unaongelea uwepo wa "SHERIA" halafu wakati huo huo hutaki kutambua usawa kati ya mwanaume na mwanaume. Sheria hizo unazozitaja zinatoa nafasi ya namna fulani ya usawa kati ya mwanaume na mwanamke.
Kama mwanaume huwezi kuwa unapigia kelele juu ya umuhimu wa wanawake kuwa bikra halafu wakati huo huo unashinda mtaani ukitongoza dada za watu na kuwatoa bikra. Hoja ya bikra hapo inakuwa inakosa mashiko, yaani wazungu wanasema ni "CONTRADICTION".
Kama bikra ni muhimu sana kwenye ndoa basi wewe kama mwanaume unapaswa kuwa sehemu ya kuilinda. Najua hutakubaliana na hoja hii kwa sababu tu ya mfumo dume ambao umekulea ambao sehemu kubwa unakandamiza nafasi ya mwanamke kila wakati, kwamba mwanamke ni raia daraja la pili.
Bikra haina umuhimu kiasi hicho. Wewe kama unataka kuoa utaoa, muhimu ni mwanamke na mwanaume kutunza kiapo chao baada kuoana, kuendelea kuwa waaminifu.
Ila hoja kwamba mwanamke akiolewa bikra sijui ni heshima sijui kajitunza ni upuuzi. Mwisho wa siku mwanamke naye ana matamanio na nyege kama wanaume kwa hiyo akipata mtu wacha naye abanduliwe, akitaka kutobanduliwa basi nayo kheri.