Jokajeusi
JF-Expert Member
- Jun 1, 2018
- 6,323
- 10,813
- Thread starter
-
- #1,581
Kuzaliwa ni kuzaliwa tu haijalishi mtu alibakwa au lah, so to me there is no difference kwa hyo zaidi tu ya streotypes za watu, pia mtu anaweza kuwa Malaya with beautiful soul, na matendo mengi hufanya Ila umalaya ni Kama weakness yake as kila binadamu ana mapungufu yake, Kuna watu sio Malaya, Ila wao ndio kumara wa kuhukumu watu, Wana roho mbaya shetani anasubiria, so kwa vile hufanyi dhambi flani hakukupi utakatifu, kila binadamu ana weakness Ila vile watu hunyooshea umalaya wakati ni furaha ya mtu I don't see any problem honestly.
Ndio maana nikasema watu waone Comment alafu wataona wanawake malaya wanafikiriaje. Nashukuru kwa kuwa mfano mzuri humu.
Yaani uwe malaya alafu uwe na roho nzuri? Sijawahi ona hii popote pale. Hujui umeolewa? unafanya umalaya nani atauvumilia umalaya?
Ni sawa na mwizi anakuambia nimeiba ila ninaroho nzuri, tangu lini?
Huwezi kuwa na roho nzuri kwa kuvunja amri za Mungu.
Jamani watu oneni huyu mwanamke jinsi anavyofikiria, yaani amemuoa anafanya umalaya alafu anakuambia anaroho nzuri hajui unaumia 😀😀😀😀
Roho mbaya za watu zinasababishwa na kutenda dhambi, ukiona mwizi ujue anaroho mbaya, ukiona muuaji jua anaroho mbaya, ukiona asiyeheshimu wazazi huyo anaroho mbaya, ukiona malaya ujue anaroho mbaya, ukiona msema uongo huyo anaroho mbaya,
Mtu yeyote anayefanya uovu anaroho mbaya wakiwemo Malaya ambao mada hii inawahusu. Sema wamegawana idara
Narudia, vijana wasioe wanawake wasio na bikra, nadhani wanajionea wenyewe kwa macho kupitia comment zako