cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Wewe tu ndio unajua hzo torati, na Sheria Mimi sijui kabisa, maana wewe umefocus na umalaya tu hata vitu simple hutaki kuelewa maana ulitaja na Mungu then I told you kuhusu kuhukumu wengine na wewe kujiona msafi eeeh, any way hii si case ni mitazamo na kila mtu Yuko huru kuamini kilicho sahihi kwakeUnazijua torati?
Unajua sheria za nchi?
Tangu lini kuhukumu ni dhambi? Torati IPI hiyo?
Pasingekuwa na Kadhi, hakimu,
Nasisitiza Umalaya ni dhambi.
Wanaume wasioe malaya