Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

mimi mwenyewe ntaoa bikra hiyo Haina mjadala na mpango huu nnao kichwani kwa muda mrefu natoa na mahari Safi kabisa bila shaka mke wangu ntamuoa akiwa na miaka chini ya 18
 
Kuna mwanaume anategemea kumuita mke mwanamke kama huyu na kuanzisha naye familia[emoji846][emoji846][emoji846] anakwambia kaz ya k ni kutumika kwa sana!!! Watoto wana nini ya kujifunza kwa mama kama huyu sasa???[emoji848][emoji848]
Mkuu wewe jifunze au kaoe malaika utapata na wengine unaona hawafai achana nao kabisa.
 
Kuwa mkweli bibie una mtoto ? Hata mwanamke awe malaya vipi au mwanaume awe malaya vipi, hapendi mwanawe achezewe. Usicheze na nasaba bibie.
Sina hata wa kusingiziwa Mimi kabisa, na pia mtoto atachezewaje kwani amekuwa mpira?
 
Mmmh! Tatizo hili.Unahisi ni wako peke yko.Nakupa mienzi mitatu tu.Utarudi apa ukilalama

Hahahaa! Mkuu humu umeingia lini? Maneno haya nimeyaongea tangu 2011 humu humu JF. Wewe unanipa miezi miwili hahahha.

Bikra Matters
 
Huyu atakuwa hana mtoto, kama anae basi atakuwa anafurahisha genge.

Mzee hapa natafuta leseni ya kumiliki "Gurunedi" kwa ajili ya mabinti zangu.
Hata ununue gruneti gani wahuni watapita na binti zako ka mwewe
 
Enz zangu,nmetembea na wake 9, ambao walioolewa bikra,had Leo mmoja kaachika,wawili wamenivunjia ndoa,watatu wanamigogoro ya ndoa zao..ilinib kutumia nguvu kubwa sana kurudsha ndoa zao...maana nilijutia sana,lkn mpk navyoandka bado mmoja aliyeachika kumrudsha kweny ndoa yake....MUNGU ANAWEZA,NA AMIN NAKUMBIA "Retired soldier is a coolest n humble soldier in the family"..

Endelea kuwashauri wanao hivyo. Mimi nimeshasema bikra MatterHuu mwaka was 10 sasa
 
Ngoja niwape ushuhuda kidogo kuna rafiki yangu wa kike kwa sasa ana ujauzito wa mwanaume ambaye anategemea kumuoa hivi karibun,,ila sasa mda mwing anaongea na ex wake na kumsifia kuwa anajua kumtia vizuri kuliko huyu current future husband na pia aliniahid ataendelea kumpa K huyo ex wake hata kipindi hichi cha ujazito na hata milele !! Hicho kitu kilinihuzunisha na kilinifunza kitu kikubwa sana!! Mimi pia binafsi siwez oa dem asiye na BIKRA kwa sabab kama hizi !! Mleta mada kaongea ukwel ila hamtaki tu kukubali!! Sio kwamba ukiona bikara ndo una garantee 100% kwamba ndo itakuwa safe ila ina afadhali mara 100000!! Na nlichogundua wanaopinga hii point ni watu wa aina mbili
1: Wanawake waliochakazwa na bado hawajaolewa
2: Wanaume ambao hawajaoa bikra
 
Hata ununue gruneti gani wahuni watapita na binti zako ka mwewe

Wahuni hupita kwa Malaya. Dada zangu wrote wameolewa wakiwa bikra. Ndoa zao mpaka Leo zinafuraha. Mashemeji wanashukuru utadhani nini

Umalaya ni mazoea yaliyopuuziea yakawa tabia. Mama Malaya huzaa vitoto Himalaya. Kazi kutoa mimba. Bora hata vizae viwe single mother
 
Ninauhakika kila mmoja anashuhuda zake humu.

Hata wanawake wenyewe wanajua nilisemalo. Umalaya tuu
 
Wahuni hupita kwa Malaya. Dada zangu wrote wameolewa wakiwa bikra. Ndoa zao mpaka Leo zinafuraha. Mashemeji wanashukuru utadhani nini

Umalaya ni mazoea yaliyopuuziea yakawa tabia. Mama Malaya huzaa vitoto Himalaya. Kazi kutoa mimba. Bora hata vizae viwe single mother
Sasa Kama kwenu bikra ni mafanikio hyo ni njema Sasa usipangie wenu wafanye hivo, wewe wataka bikra wengine wataka Malaya so dunia lazima iwe na watu tofauti ili ichangamke
 
Naam. Nimeitikia huu wito adhim.

Ukweli wa mambo ni kuwa ni kosa kumuita mwanamke ambaye hana bikra kuwa ni "Malaya" au aliyeolewa bila bikra ni malaya. Sababu Bikra huondolewa kwa sababu kadha wa kadha. Malaya atabaki kuwa malaya na mfabo wake.

Pili, ni kosa kadhalika kwa mwanamke ambaye hana bikra na akaiona bikra ni kitu kidogo kisicho na maana yoyote na asiye jutia kumpa mumewe zawadi hiyo (Hapa walio wengi huwa wanatamani sana laiti hiyo bikra wangewazawadia waume zao).

Tatu, hakuna mtu anaependa kitu kilicho tumika, ndiyo maana mwanamke mwenye bikra atabaki kuwa wa thamani kwa muda wote. Nani asiye penda kufungua njia ? Hata wanawake nao hupenda vipya.

Nne, bikra huongeza mapenzi asikwambie mtu na uaminifu, kwa yule aliyeolewa akiwa nayo.

Tano, sote tunatakiwa tujue ya kuwa kuna maisha baada ya bikra na kutokuwa na bikra, wote wanaweza kuwa waovu sababu sisi wanadamu tumeumbwa na tamaa na moyo wa kubadilika badilika, leo naweza kulala nikiwa mwema kisha nikaamka nikiwa muovu.

Sita, omba upate mwanamke mwenye tabia njema, ila akiwa na bikra huwa bora zaidi, kisha akawa mzuri (Vijana wanasema pisi kali) , mwenye kuheshimika.

Bora ya maneno ni maneno machache yenye faida.

Ahsante sana Rowin kwa wito huu adhim.
Naona leo umeandika point kuliko siku zote
 
Mkuu Jokajeusi naunga hoja yako kwa mikono miwili japo kuna baadhi ya maneno yaliyotumika katika uwasiliswhaji wa mada yako ni makali au machungu kidogo kulingana na mtizamo wangu

back to the topic,ulichokisema kina mantik kubwa sana mkuu,lakini sikuona ukitaja kama bikra ni muhimu kwa wanaume pia au kwa wanaume wao ruksa kuwa viruka njia ila wanawake ndio waolewe wakiwa mabikira,

kwa kusema hivyo nina maanisha kuwa kama wanaume pia wangewekewa msisitizo huo huo tunaowawekea mabinti,trust me watu wangekuwa wanaoana wote wakiwa watoto,kwa sababu hakuna aliye na shida na mwenzie kabla ya ndoa,lakini kama msisitizo huo mzito ni kwa wanawake peke yao,unadhani hizo bikra zitatoka wapi kama wanaume wao ruksa kuruka ruka? au ndo wawe wanaruka ruka kwa wake za watu ambao tayari washafungulizwa njia zao? to me that's the answer kama ni wanawake pekee wanaopaswa kuwa bikra wanapoolewa basi wanaume wanapaswa kuwa wakitoka na wake za watu ili wanawake singles wabaki na bikra zao ili pindi wakiolewa waume zao wawakute na bikra zao,vinginevyo mkuu hii mambo ni ngumu kuliko maelezo kuwa applicable

my opinion mkuu nawish huu msisitizo ungewekwa pande zote kulifanya hili liwezekane.
 
Sasa Kama kwenu bikra ni mafanikio hyo ni njema Sasa usipangie wenu wafanye hivo, wewe wataka bikra wengine wataka Malaya so dunia lazima iwe na watu tofauti ili ichangamke

Nani kakupangia. Nimeshauri vijana, wewe ni kijana au ndio zile zile tabia za kimalaya
 
Enz zangu,nmetembea na wake 9, ambao walioolewa bikra,had Leo mmoja kaachika,wawili wamenivunjia ndoa,watatu wanamigogoro ya ndoa zao..ilinib kutumia nguvu kubwa sana kurudsha ndoa zao...maana nilijutia sana,lkn mpk navyoandka bado mmoja aliyeachika kumrudsha kweny ndoa yake....MUNGU ANAWEZA,NA AMIN NAKUMBIA "Retired soldier is a coolest n humble soldier in the family"..
Walikupiga changa la macho
 
Back
Top Bottom