Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Japo siwezi kulazimisha tufanane mitazamo ila narudia tu tena mwanamke hata awe bikra akishindwa kusimamia mipaka yake kama mwanamke ndani ya ndoa basi ndoa hiyo ipo mashakani la muhimu ni hilo ndani ya ndoa nasio bikra ndio inaiimarisha ndoa. Kuna sehemu nimeona eti mwanamke ukimuoa bado bikra hatajua wewe unakibamia au laa😀😀😀 madogo mnajidanganya kwani kibamia kinatokana na kuona na sio utendaji hata kama mkeo ulimkuta bikra ila alishaingia hata kwenye porn site moja atakuwa alishaona maumbile tofauti tofauti na akiuliza kwa rafiki yake neno kibamia linamaanisha nini akiambiwa ni uume mdogo basi kwa kulinganisha alichokiona sehem zingine na kwako hata kama hata kutamkia ila jibu atakuwa nalo kuwa mme wangu anakibamia. Kibamia hakitokani na utendaji bali kinatokana na kuona. Kama mtu anakibamia ila mwenza wake anafikishwa safari zake unafikiri Kuna madhara!?
BIKRA KWENYE MAISHA YA NDOA HAINA KAZI NDIO MAANA MAFUNDISHO YA NDOA HAYAJAGAWANYWA HAYA YA MABIKRA NA HAYA YA AMBAO SIO MABIKRA. Mafundisho ni mamoja tu.






MAGUFULI4LIFE.
 
UKWELI NI HUU..



Mleta mada yupo sahihi kabsa japo lugha aliyoitumia sio lugha ya nzuri...



Bikra ina nafasi yake kubwa ktk ndoa...kuna faida nyingi na hasara kidogo kumuoa mwanamke bikra (kigori).



Kwa Imani ya dini yetu ya kiislamu Mwenyezi Mungu ametuahidi wanawake bikra (mahurul lain) kwa wale watakao fudhu ktk hukumu yake...why bikra? apo ndo utajua thamani ya bikra.



Lakini katka Imani yetu pia Mwenyez Mungu ametuambia....muumini atamuoa muumini mwenzake,mzinifu atamuoa mzinifu mwenzake,na mshirikina atamuoa mshirikina mwenzake....but apo Kwenye muumini aja taja bikra wala asiekuwa bikra,kuna hekima kubwa sana apo...



Mwenyezi Mungu alijua haya yote yatatokea ndomana ktk makemeo yake amesema....."wala tusiikaribie zinaa" yaani kuikaribia but leo hii wengi tunaipupia....na chanzo cha yote hayo ni wanawake hii inareflect tangu kule bustanini Hawa alivyoshawishiwa na nyoka kulila lile tunda nae akamshawishi adamu kulila ndo mambo yalipoanza kuharibika...

Leo shaytani anamshawishi mwanamke ili atushawishi sisi wanaume kufanya nao zinaa....na hii inajidhirisha pale wanawake wanapotembea uchi mabarabarani.

Nirudi kwa mleta mada,naomba ujue ktu mbali na bikra....mke mwema anatoka kwa Mwenyezi Mungu si kwa nguvu zako usijidanganye ata siku moja....

Mwanamke anaweza akawa amepoteza bikra kwa sababu nyingi Sana...mfano
1. Ujinga
2. Kufata tu mkumbo
3. Kubakwa
4.Mila
5. Mazingira yanayomzunguka ikiwemo familia.

Hii kwa wale waliopoteza bikra,na wale walio oa wanawake wasio bikra naomba msivunjishwe moyo na maneno ya mleta mada...huu ni mtazamo wake tu wala sio maandko ndo yamesema..

So msikate tamaa Kwenye rehma za Mwenyezi Mungu kwani ukikata tamaa uko ni kujidhurumu mwenyewe...ndo maana Mungu akatuekea mlango wa toba tutubu ata mara sabini na hakuna kosa lisilo tubika...tubu as much as u can na ubadilike pepo la umalaya likutoke.

Mtume wetu muhammad aliowake zaidi ya wanne lakini Kati ya hao bikra ni mmoja na Kati ya hao mke ambae alikuwa anatamkwa kinywani mwake ni huyo mke wake wa kwanza ambae alikuwa sio bikra na alikuwa amezidiwa miaka mingi na uyo mkewe...

Ndomana ktk dini ya kiislamu imeruhusu uke wenza kuepusha fikra kama hizi...Mimi binafsi nitaoa wake wanne panapo majaaliwa mmoja singo maza,bikra,asie bikra na mwengine atakae nivutia as long as awe muumini na afate swaga zangu...

Namalizia kwa kusema....DUNIA NI STAREHE NA STAREHE BORA NI KUMPATA MKE MWEMA....AWE BIKRA AU SIO BIKRA HUU WEMA UKIWEPO BASI YATOSHA.

Hongera, umeandika kwa hekima mno [emoji1376]
 
Bikra raha na tamu sana kuitoa

Kuna ile hatua ya ub@o kushindwa kuingia na msichana kulia lia

Nina bahati sana ya kuthubutu kukutana na wasichana mwenye kilomita sufuri
 
Tumuache kwanza, naona ulanzi wa mahaba umemkaa pazuri. Cha kumsihi tu ahakikishe hamuachi mkewe popote aendapo kikazi esp. uhamisho wa kimkoa 😂😂😂
Hakuna mwanamke mwenye kinga ya kutokuchepuka.
Lakini mleta mada yupo sahihi kwa 100%!

Mwanamke siku zote anamheshimu na kumkumbuka sana yule mwanaume aliyembikiri. Yule ndiye aliyempiga chata ya Kwanza ya kiume(sexual imprint).

Kwa mwanamke yule mwanaume aliyembikiri ana matter mno, hata wanaume wengine watakaofuata inabidi wawe na ufanano na yule Me aliyembikiri ndipo waweze kumvutia huyo Ke maana wanaibua kumbukumbu za yule aliyembikiri.
Kudos Jokajeusi !
Virginity matters!!!
 
Una obsession Sana na bikra, na ambao hawana nao mwanzo walikuwa mabikra, hata kuomba kazi hutaka mwenye experience same applied na bikra hajui lolote ukimuoa ndani ya ndoa ataanza kutafta new taste.
Hakuna mwanaume asiyependa mwanamke Bikra, ni heshima kubwa sana na inamaanisha mengi.

Mungu mwenyewe alimchukua Bikra ili amzaliye mwanaye, binadamu ni nani hata apingane na mapendekezo ya Mungu?

Bora kuoa Bikra asiye mzoefu ili ukamfunze mwenyewe kuliko anayekuja na uzoefu lakini ni damaged physically and emotionally.
 
Hakuna mwanaume asiyependa mwanamke Bikra, ni heshima kubwa sana na inamaanisha mengi.

Mungu mwenyewe alimchukua Bikra ili amzaliye mwanaye, binadamu ni nani hata apingane na mapendekezo ya Mungu?

Bora kuoa Bikra asiye mzoefu ili ukamfunze mwenyewe kuliko anayekuja na uzoefu lakini ni damaged physically and emotionally.
Kashindwa kutunziwa Adamu itakuwa wewe.!

Hawa alipitiwa na Jokajeusi akapatikana Kaini yote yanayoendelea ni urithi
 
Back
Top Bottom