Quetzal
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 6,343
- 10,799
Mkuuu.... Hebu usitukane mamba kabla hujavuka mto.Mkuu, naweza onekana labda nawasema vibaya watu fulani, lakini huo ndio ukweli. Ukitaka usalama kwa asilimia 90 ndani ya ndoa oa mwanamke bikra. Kwa maslahi yako na watoto.
Kuna tofauti kubwa baina ya mwanamke aliyeolewa na bikra akizaa mtoto wa kike na tabia za mtoto wake katika malezi.
Lakini mwanamke malaya huzaa vitoto malaya, utahangaika sana kupigishana kelele na mama yao, vitoto vikikua na kutoa chuchu unaanza navyo kuhangaika navyo, watoto wa kike hurithi tabia za mama zao.
Huniamini acha, sio lazima.
SUBIRIA hao watoto wako wakue kwanza