Brinna_Mercy
Senior Member
- Sep 11, 2020
- 179
- 456
Hapana bado sijaolewa, ila soon Mungu akijalia.Samahani lakini mrembo, hivi umeolewa ? Maana nakukubali sana na upo tofauti na wanawake wengi sana humu. Yaani ukweli unaukubali bila shida yoyote.
Endelea hivi hivi mrembo.
Safi sana, fanya uolewe bibie, uwasaide mawazo wenzako wa humu, maana mishipa ya shingo inawasimama kubishana na ukweli, jambo ambalo hakuna anaeweza kubishana na ukweli.Hapana bado sijaolewa, ila soon Mungu akijalia.
Thanks for your appreciation [emoji3059]
Na unajuaje kuwe wewe hapo ulipoweka ni sahihi kuliko sehemu nyingine? Na uovu kwanza ni socially constructed, wewe waweza jiona uko sahihi kwa mtizamo wako lakini ukiwa na watu wengine wakakuona hauko sahihi so it's a matter of pure opinionsNakusaidia, unaelewa nini ninapo kwambia kuweka kitu mahala pake panapostahiki ? Sasa uovu ni kinyume chake.
Nafasi ya vitendo katika hayo mawazo iko wapi ?
Umejuaje Ni uovu maana hata wewe ulivoandika mwingine anaona umepotoka kabisa, kulingana na alivo elewa, shida watanzania time cremisha hichi ni sahihi kumbe kwa mtu mwingine ni wrong.
Hapo kotekote tu ni sawa kulingana na ninavotaka kuamuaNimekuuliza wewe kama wewe, usiwasemee wengine na jibu lake ni fupi sana, kwamba ni jambo baya au zuri ?
Hahaaa wanioneje sasa, maana hata wewe unahukumu wengine vile hawaandiki usichokiamini na umesahau kuhukumu ni dhambi pia, usengenyaji na hayo yote.Watu jioneeni MTU huyu.
Hajui hata umalaya ni dhambi.
Dini zote zinaeleza hivyo.
Sheria zinaeleza hivyo, wewe unaishi wapi?
Na unajuaje kuwe wewe hapo ulipoweka ni sahihi kuliko sehemu nyingine? Na uovu kwanza ni socially constructed, wewe waweza jiona uko sahihi kwa mtizamo wako lakini ukiwa na watu wengine wakakuona hauko sahihi so it's a matter of pure opinions
Ni kweli kabisa mkuu, na mwanamke bikra akikuambia nivumilie mpk tuoane hapo sawa co anasema nivumilie alafu keshagongwa gongwa ss hapo unavumilia nn wkt tayari keshaonja tamu?Habari Wakuu!
Tangu nijiunge humu JF nimekuwa nikiwapigia chapuo wanawake wenye bikra ndio wake bora.
Asilimia 90% ya wanaume tuliooa wanawake wenye bikra hatuna kesi za ajabu ajabu ndani ya ndoa. Wanawawe sio malaya, wanaadabu, hawana tamaa ya hovyo hovyo.
Wakati 10% iliyobakia ya waliooa wanawake wenye bikra wanapata mikasa na vitimbwi vya ndoa.
Hii ni tofauti na wale wenzangu na miye waliooa wanawake wasio na bikra ambao 90% wanahenyeka, wanaipata fresh ya shamba.
Huku 10% ndio wakineemeka.
Wakati 99% ya wanaume waliooa single mother wakiiona dunia jehanamu, ndoa chungu na maruweruwe.
Huku 1% ya wanaume waliooa single mother ndio wakienjoi.
Sisi tuliooa wanawake wenye bikra mpaka hivi leo tunapeta na wengi tunaenjoi maisha.
Faida ya kuoa mwanamke mwenye bikra
1. Hawezi kukuona kibamia
2. Kiroho mnamafungamano
3. Mtazaa kizazi kisicho cha zinaa tofauti na kuoa mwanamke ambaye tayari ameshafanya uzinzi. Ambapo mtoto wako atapitia kwenye uke ulionajisiwa na wanaume wengine na kumwagiwa manii zingine.
4. Heshima na adabu
Siku zote mwanamke anayekuheshimu atakupa kitu kipya na sio mtumba. Wanawake wa siku hizi wanawadharau wanaume kwa sababu wanaume wengi siku hizi wameamua kula makombo, kula mtumba. Mwanamke hawezi kukuheshimu ikiwa ulimuoa akiwa hana bikra. Hata Mungu mwenyewe hapendi makombo, Mungu kumpa sadaka au zawadi used ni kama umemdharau. Ndio maana akawaambia hata watu wake waoe wanawake bikra, ili wasijitie unajisi wao na kizazi chao.
5. Ukioa Bikra huwezi pata sijui mwanamke aliyetoa mimba, sijui aliyezaa.
Siku hizi wanaume wanaoa wanawake wauaji bila ya wao kujua. Unakuta unaoa jianamke lisilo na bikra kumbe tayari limeshaua watoto kwa kutoa mimba nyingi tuu. Sasa njia bora kuzuia mashaka hayo ni kuoa mwanamke bikra.
6. Mwanamke hatakuwa na Kumbukumbu za Ma-ex wake
Ukioa mwanamke bikra huna wasiwasi, unajiamini kwa sababu wewe ndio wa kwanza. Huwezi linganishwa na mwanaume mwingine kwa sababu hakuna wa kulinganishwa naye. Ila ukioa mwanamke asiye na bikra ni lazima afanye ulinganisho baina yako na wanaume waliompitia. Siku zote awali ni awali. Na siku zote upendo wa kwanza ndio upendo halisi.
Nafahamu mada hii itawaumiza wanawake wengi ambao hawana bikra na hawajaolewa, au waliombioni kuoa mwanamke ambaye hajamkuta bikra. Lakini huo ndio ukweli. Wewe kama huna bikra au uliolewa bila bikra na ukaolewa na mwanaume mwingine ambaye hajakutoa bikra basi tambua wewe ni malaya.
Sisemi malaya wasiolewe, ila lazima mtu kabla hajaoa atambue kuwa changamoto za kuooa malaya ni zipi.
Siku hizi watu wanakuambia ndoa ndoano, au ndoa uvumilivu moja ya sababu ni kuoa wanawake wasio na bikra. Kuoa mwanamke asiye na bikra yataka moyo. Yaani unaoa mwanamke ambaye unafahamu fika kuwa mwanamke huyu ni malaya yaani tayari keshalala na mwanaume mwingine. Kabla hujaoa mwanamke asiye na bikra jiulize utaweza vumilia changamoto za malaya?
Ni tofauti na sisi tuliooa wanawake bikra ambao kimsingi tunakuwa waalimu wa wake zetu tukiwafundisha kila mazuri na mabaya. Lakini unapooa mwanamke asiye na bikra basi tambua yale aliyojifunza kwa waliomtoa bikra basi anakuja ku-apply kwako.
Wakuu bikra zipo, mabinti wapo kibao wenye bikra, acheni kusema bikra hakuna, bikra zipo nyingi kidato cha tano, cha sita, chache zipo chuo.
Nafahamu kuna bikra za kutengeneza, lakini mwanamke bikra hata akili yake huwa bikra hilo ni muhimu.
Bikra matters!!!!
Povu Ruksaa
Kwahyo wewe ndio unaelewa unavotaka kulazimisha bikra na wengine wafikirie ka wewe?Huna unachoelewa.
Hujui hata maana ya Opinions na facts
Umalaya ni kosa kwa jamii zote. Hii ni Fact.
Ukahaba inategemea na jamii. Opinions
Facts haina pande mbili kama jambo ni baya basi ni baya kwa jamii zote.
Opinions inapande mbili, jambo linaweza kuwa baya jamii moja lakini kwenye jamii ingine jema
Hahaaa wanioneje sasa, maana hata wewe unahukumu wengine vile hawaandiki usichokiamini na umesahau kuhukumu ni dhambi pia, usengenyaji na hayo yote.
Kwahyo wewe ndio unaelewa unavotaka kulazimisha bikra na wengine wafikirie ka wewe?
Coz to me nilijua wewe ni mtu muelewa rather naona umefocus na umalaya sijui Nini na juu nilikutolea mifano ya dhambi wewe umefocus na umalaya sasa hapo unakuwa na tofauti gani na wale mafarisayo waliyompeleka yule mwanamke mzinifu kwa Yesu, na Yesu akawaambia mtu yoyote asiye na dhambi na achukue jiwe ampige yule mwanamke, mbona waliondoka hawakumgusa kwa lolote. So tuache kuhukumiana kwa vile tunaenda dhambi kitofauti tofauti. Hamna mkamilifu
labda Saint AnneHivi humu JF hakuna hata bikra mmoja?
Hapa ss kiongozi ndipo nilipokushusha na kukuona we kumbe bado kwenye mapenzi, iko hv ww shikilia msimamo wako kwmb watu wajitahidi kuoa wanawake bikra lkn huwezi kumfanya awe special cz utake usitake lazima utachapiwa tu yn ckia nikwambie lazima uchapiwe labda umdhibiti mkeo asiwe na marafiki na asitoke wala ww usitoke.Kutafuta taste ni tabia za mwanamke malaya, Mimi ninasema jambo nililolifanyia utafiti, wewe unaongea kujifariji humu.
Na Mimi ndio nimeelezea humo humo kwa mifano, hata sijatoka nje yake na Mimi kufungua Uzi ili nijione msafi siwezi nitabaki mchangiaji tu basiMada inahusu Umalaya, ndio maana nimejikita humo. Wewe unataka utoke nje ya mada.
Fungua Uzi mwingine utakaohusu dhambi zingine