Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

mtoa mada mbona ameshasema kuwa 10% ya walioa bikra ndio wanapitia cjangamoto ktk ndoa yao.. So huyo jamaa yako mtoa mada ameshamuweka ktk 10% but majority wanafaidi [emoji23] [emoji23] according mtoa mada

Hongera Mkuu na wewe si kati ya wale 90 wanaofaidi
 
Watu jioneeni MTU huyu.

Hajui hata umalaya ni dhambi.

Dini zote zinaeleza hivyo.

Sheria zinaeleza hivyo, wewe unaishi wapi?
Huyo ni malaya alieukubali umalaya eake na kuufanya kuwa jambo la kawaida.
 
Jokajeusi naomba nikuulize,huyo mkeo ulianza kumgegeda lini?..Baada ya ndoa au? na kama ni kabla ya ndoa na ulikuwa unaishi naye mbali how sure you are kuwa hayagegedwa na mwingine?.

All in all mimi pia siwezi kuoa demu asiyekuwa na bikra..I can't take that
Wewe unayo ???
Aki ya nani [emoji23]
Kila mtu anapata wa kufanana naye
 
Naona unanyooshea vidole Malaya huku vingine vimekugeukia, hakuna aliye msafi in Jides Voice
Hata yeye si msafi.
Naye yupo kwenye kundi la wazinzi maana alifanya tendo la ndoa na huyo msichana kabla ya ndoa
 
Ni kweli kuwa kuna heshima yake, tusi justify uchafu wetu kwa vile tu hatukuweza kuishi inavyostahili. Mtu mume na mke wakijuana ndani ya ndoa kuna raha yake(naamini hivyo japo sikuishi hivyo).
Kituko ni pale mwanaume anataka apate mwanamke bikra wakati yeye ni malaya wa kutupwa.
 
Nime-like hata kabla sijasoma kilichoandikwa nitasoma akili ikiwa imetulia.

Japo naamini yote yaliyoandikwa ni sahihi.
 
Back
Top Bottom