Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

vipi wife ulimkuta bikra?
Mkuu nikiandika watasema ni yale yale kila mtu Jamiiforums kujifanya ana maisha smart so amini utakavyoamini ila kilichoandikwa hapo juu kiamini usikipuuze!

Ogopa sana kuowa “KOPO”,makopo ni ya chooni siyo ya kuyaweka chumbani na kulala nayo mki-share issue nyeti kama uzazi tafuta bint mdogo bora uonekane unabaka ila ujitengenezee maisha mema ya ndoa.

If you catch what i mean!!!
 
Kila malaya aliwahi kuwa bikra..

Binafsi ninaweza kusema zipo faida za kuoa bikra lakini.. Kuna hasara pia za kuwa na mwanamke bikra.
 
Jurjani kwenye huu for the first time kaandika point hafu anapenda binti zake Ila huku JF sasa misimamo yake
Yaani ameandika point sana.
Nilivyosoma comment Yake nikaona haina haja ya Mimi kucomment.
 
Binafsi natamani sana kumpata mwanamke alie kubuhu lakini akaja kutulia.. Hao mabikra wanakata stim kichizi
 
Waja huwa tunakosea Sana kufikiria hyo dhambi moja tu ya uzinzi
Wakati kuna dhambi kibao tu..
Yeye (Mungu) aliyesema Usizini ndiye huyohuyo aliyesema usiibe,usiseme uongo na kadhalika.
Hata Biblia inasema "wote wametenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu"
Mhubiri anasema "Bila shaka hakuna mwanadamu mwenye haki hapa duniani,ambaye afanya mema,asifanye dhambi"

Pia maandiko katika Mathayo yanasema tusihukumu;
Warumi pia inasema "wewe u nani unayemhukumu mtumishi wa mwingine?
Lakini wewe je!mbona wamhukumu ndugu yako!?"

Mungu katika kolosai anataka tuweke Neno lake kwa wingi ndani yetu katika hekima yote tukifundishana na kuonyana kwa zaburi na nyimbo na tenzi za rohoni.

Mtoa mada yeye amejivika cheo cha kuhukumu.
Na mimi namuuliza kwamba anahukumu kama nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…