Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahahah umetisha mkuu, kwa hio kuwa marioo sio dhambi kama hawaHata Yesu alikuwa Marioo kwa Magdalena
Muhamadi alikuwa Marioo kwa Bi. Khadija
Kuliko uoe mwanamke asiye na bikra alafu malaya, ni bora uwe marioo.
Waache waje, wanawake weye pesa huwezi waona humu, wao hunifuata inbox
malaya wanavyokandaga watu humu.
Maana mie niliwahi leta maoni yangu wakani diss. Binafsi naamini zaidi katika mwanamke independent kiuchumi ndie ambaye anaweza kutoa penzi la kweli maana hashawishwi na hela zako bali anakuwa nawewe sababu anahitaji kuwa na wewe. Niliishia kupigwa majungu mno.