Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Asikusumbue soma hapo
 
Hebu fatilia chart za huko juu yeye mtu yeyote mwenye mtazamo tofauti hasa mwanamke ka Mimi kaniita Malaya na maneno mengi na nimemuelewesha vizuri tu, so yeye ndio analeta Mambo ya uzinzi na umalaya at the end of the day ilianzisha mada lazima kuwe na mitazamo tofauti tofauti, sasa ukitaka ulipendalo hyo mada ni Bora usingeandika ty
 
Hili neno la "BuliBuli" unenikumbusha Shairi moja maarufu sana la kiarabu linaitwa "Swawti Swafur Bulbul", humo anaongelewa ndege (Mwanamke Mrembo) na lugha iliyotumika humo ni tamu ajabu ile lugha ya ndani kabisa.
Hahaaa I didn't know wallah maneno mengi tumekopa kwenye kiarabu huko
 
Wanaume aina yako ni makupe, hujipendekeza kwa wanawake wenye pesa kwa lengo la kuwanyonya.
Bro tafuta pesa oa mwanamke umpendaye achana wizi wako
 


Nikiwa masikini haimaanishi nisidharauliwe, ndio maana kipindi cha nyuma mwanamke akinikataa kisa sina pesa nilikuwa namuelewa, sijisikii vibaya kwani najua hataki mateso ya umasikini.

Ndio hivyo masikini apambane awe na hela ndio atafute mke/mume sio kutaka kupendwa na ufukara wake. Ushaambiwa mkonoi mtupu haulambwi, ushaambiwa aliyenacho ataongezewa asiye nacho hata kile kidogo anachodhani anacho atanyang'anywa. Bado huelewi nini.

Unajua masikini walioenda shule wanavituko sana, ndio hawa wanahangaika na haki sawa Hahahaha!

Hakuna usawa dunia hii.
Wewe kama ni masikini ni masikini tuu. Uwe mzuri, uwe umesoma, uwe vipi. Masikini lazima udharaulike.

Wangapi masikini wamesoma wanaranda randa mitaani kama chokoraa, wangapi wanawake wazuri masikini hawana mbele wala nyuma zaidi ya kujiuza na kuloga watu.

Mwanamke/mwanaume tajiri hata awe na sura mbaya, awe hajasoma lazima aheshimike.

Sasa wewe sura nzuri yako imekusaidiaje kukimbia umasikini? Wewe kama ni mzuri na bado ni fukara je ungekuwa mbaya si ungekuwa msukule kabisa?
 
Wanaume aina yako ni makupe, hujipendekeza kwa wanawake wenye pesa kwa lengo la kuwanyonya.
Bro tafuta pesa oa mwanamke umpendaye achana wizi wako

Pesa inatafutwa lakini sio ije itumiwe na wanawake fukara, wewe utanielewa mwishoni mwa picha.

Ukishaambiwa binadamu hawana jema; basi tambua ni hao masikini ndio maana wamejazana duniani kama sisimizi, Kazi kuzaliana tuu
 

[emoji23][emoji23]
 
Masikini hashauriwi wala hashauriki

Mimi ni kilaza lakini naelewa masikini walivyo, sasa wewe usiyewaelewa masikini ndio unashangaza watu humu.

Masikini wapo ili wateseke na watese wenzao. Nani atakubali kuteswa na wapuuzi
Mkuu..kwa kauli zako hizi juu Watu Sio kuwa na uwezo unaonekana una uwalikini..

Tena atakae sikiliza ushauri wahuyu mpumbafu..anatafuta kupotokaa

Hajazungumzia kupendana Wala kuvutiwa na mkewe...Yeye anazungumzia hela ya mkewe..

Bila Shaka huyu atakua. Anachepuka na wengine wazuri wenye kuvutia kwani ..yeye hakuvutiwa na maumbile ya mkewe alifuata pesa na bikra..WAL hampendi mkewe Maana hayo hajayasema.


Mkuu...hona hoja Wala huna sera..mpigie baba mkwe wako..akutumie hela ya kunywa chai.
 
ku-argue na mjinga ni kupoteza muda nikutakie asubuhi njema mkuu

Shukrani, ila zingatia sana. Mimi kama ni mjinga lakini nilichokushauri ni kikubwa kuliko unavyodhani. Tafuta mzee unayemheshimu kisha muulize swali hilo utapata majibu.

Nashukuru kwa mjadala
 
Pesa inatafutwa lakini sio ije itumiwe na wanawake fukara, wewe utanielewa mwishoni mwa picha.

Ukishaambiwa binadamu hawana jema; basi tambua ni hao masikini ndio maana wamejazana duniani kama sisimizi, Kazi kuzaliana tuu
Leo umebanwa utaonyesha upumbavu wako wote
 


Ndoa zote unazoziona watu walipendana, sasa waulize nini kinachosababisha ugumu ndani ya ndoa?

Akili yako haiwezi kunielewa.

Hujui ndoa ni uchumi

Upendo ni catalyst tuu
 
Shukrani, ila zingatia sana. Mimi kama ni mjinga lakini nilichokushauri ni kikubwa kuliko unavyodhani. Tafuta mzee unayemheshimu kisha muulize swali hilo utapata majibu.

Nashukuru kwa mjadala
ukiwa na stress za maisha ni bora ukaja jukwaani kutaka ushauri/faraja kuliko kujidai classic unapondea watu kumbe utopolo mtupu
 
Ungekuwa umesoma ungejua hata graduate akiaanza hua anaanza wengi na chini ya milion...huyu Ni tajiri?

Asioe mpaka afike kuwa mkurugenzi na tafute mtoto wa mkurugenzi eti ndo ndoa itakuwa na furaha.

Watu wenye kipato Cha kawaida Ni wengi Tena Sana...kuliko hao matajiri ..ndo amaana kwenye mwendo Kasi wapo wengi kuliko wenye magari.

Tafuta mke muelewa na umpendaye na umeridhika nae...Hayo mambo ya kutaka kuzawadiwa nyumba ya kuishi na baba mkwe wako Ukaishi ukweni ndo Mambo yanawaponza wengi.

Watanzania wengi Ni wauchumi wakawaida Sana...wasio oe eti kisa Wewe ..umekuja na USHAURI WAKO WAKIPUMBAFU HUMU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…