Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Ndoa zote unazoziona watu walipendana, sasa waulize nini kinachosababisha ugumu ndani ya ndoa?

Akili yako haiwezi kunielewa.

Hujui ndoa ni uchumi

Upendo ni catalyst tuu
Wanafunzi wanaosoma kayumba na wanao Soma school bus primary school..wapi wengi..Hawa wazazi wao hawapendani...wanaotibiwa mwananyamala na mahospitali ya Government Tanzania nzima Ni wengi ukilinganisha na private....Hawa hawazai watoto wakawalea...Ina Maana hawana upendo.kwa familia zao?

Mtu anatakiwa ajitume afanye kazi kwa bidii ..huku akimuomba Mungu amfungulie Riziki....Hawa ndo wanakuja kuwa wakuregenzi...unaanza tamani watoto wake..ili upewe kiwanja siku ya harusi.

pesa inatafutwa na wangapi walikua napesa...saiv hawana..

Huyo mkeo baba ake akifikisika utamuacha?... Wewe ukifilisika AKUACHE?

MJINGA WA HEDI WEWE JOKHA JEUSI
 
[emoji16][emoji16][emoji16] huyu dogo ni msanii sana, asikusumbue kichwa
huyu bwana mdogo anatafunwa na depression hivo anatafuta faraja bt njia anazotumia kutafuta faraja si rafiki, juzi kaleta uzi kasema alioa 2013 tena bikra bt katika huo uzi wa 2018 anadai alikua hajaoa
 
Wanaume aina yako ni makupe, hujipendekeza kwa wanawake wenye pesa kwa lengo la kuwanyonya.
Bro tafuta pesa oa mwanamke umpendaye achana wizi wako
Tena Hawa mwanamke ANAFANYA kazi..yeye anachukua Mshahara wake anaupangia matumizi..Tena anampa hela ya nauli TU kwenda ofisini... Nyingine anaenda kutombea Malaya huko..ambao ndo wanamvutia...

Wanaendesha magari ya wake zao alafu najiita mwanaume aliekamilika..

Huyu na mwanamke mdangaji wanatofauti gani?
 
Mtoa mada nimekuelewa sana sema hii kauli ya usioe mwanamke maskini wanawake inawachoma sana hasa wadangaji [emoji3][emoji3] kwa hyo defense yao Mara nyingi watakwambia unadanga Mara marioo

Iko hivi nikiwa mwanaume mwenye uchumi wangu mkubwa ni vyema nioe mwanamke ambae ni economic independent

hii ni muhimu kwa ustawi wa familia let say tuna watoto Mara nimekufa ghafla au maradhi yamenilaza sio provider tena kama awali kama haujiwezi in my absence utaleaje watoto ?ndo mwanzo wa malezi mabovu

pia atajitatulia shida ndogondogo lakini haimaniishi Mimi kama mwanaume nibweteke tu no bado mfuko wangu utatoboka kwa ajili yake lazima nijiongeze kiasi kikubwa kama mwanaume sio tajiri ata akiwa tajiri pia sawa lakini anajiweza asiwe golikipa ,mdangaji ,

Nakubaliana na point yako joka jeusi nikiwa kama mwanaume mwenye uchumi wangu stable nitaoa mwanamke wa kuendana na Mimi siwezi beba mzgo baadae ndo mwanzo wa uchawi na ugomvi ,.

Sister karucee hapo juu ameongea point ni vyema sana mwanamke kuwa economic independent , mtaendelea kuwa nyuma mpaka lini ? Pesa za mwanaume zina manyanyaso shtukeni

ajiweze ,sasa kama hutaki kuolewa na mwanaume suruali nani anataka kuoa mwanamke golikipa ,mdangaji ? Mzgo ?

zama za uzuri zishapitwa na wakati , in fact wanaume tuna vitu vingi vya kuangalia mpaka tukuoe sio uzuri .ila mambo niliyozungumzia hapo juu yana matter sana kwa kiasi chake
 
Kuna wakati unaweza kuweka jamii ya jf katikati ya jiji la London na ikafit vizuri tu. Yaani jamii ya humu ni ya wale mafogo, wasio masikini, hawapandi bodaboda wala bajaj.

Sasa umasikini na nchi yetu si kama dawa na mgonjwa kweli.
 
Mtoa mada nimekuelewa sana sema hii kauli ya usioe mwanamke maskini wanawake inawachoma sana hasa wadangaji [emoji3][emoji3] kwa hyo defense yao Mara nyingi watakwambia unadanga Mara marioo

Iko hivi nikiwa mwanaume mwenye uchumi wangu mkubwa ni vyema nioe mwanamke ambae ni economic independent

hii ni muhimu kwa ustawi wa familia let say tuna watoto Mara nimekufa ghafla au maradhi yamenilaza sio provider tena kama awali kama haujiwezi in my absence utaleaje watoto ?ndo mwanzo wa malezi mabovu

pia atajitatulia shida ndogondogo lakini haimaniishi Mimi kama mwanaume nibweteke tu no bado mfuko wangu utatoboka kwa ajili yake lazima nijiongeze kiasi kikubwa kama mwanaume sio tajiri ata akiwa tajiri pia sawa lakini anajiweza asiwe golikipa ,mdangaji ,

Nakubaliana na point yako joka jeusi nikiwa kama mwanaume mwenye uchumi wangu stable nitaoa mwanamke wa kuendana na Mimi siwezi beba mzgo baadae ndo mwanzo wa uchawi na ugomvi ,.

Sister karucee hapo juu ameongea point ni vyema sana mwanamke kuwa economic independent , mtaendelea kuwa nyuma mpaka lini ? Pesa za mwanaume zina manyanyaso shtukeni

ajiweze ,sasa kama hutaki kuolewa na mwanaume suruali nani anataka kuoa mwanamke golikipa ,mdangaji ? Mzgo ?

zama za uzuri zishapitwa na wakati , in fact wanaume tuna vitu vingi vya kuangalia mpaka tukuoe sio uzuri .ila mambo niliyozungumzia hapo juu yana matter sana kwa kiasi chake
Hii haimaanishi Kwamba wewe utafute mwanamke tajiri eti ndo ndoa itakuwa na furaha...yaani mleta mada yeye anasema furaha ya ndoa Ni mwanamke kuwa napesa...hii Ni kweli?

Kuoa mwanamke stable kiuchumi Ni Mapenzi yako ..hata Mimi sioni shida..
.lakini usilete mada mada humu..eti mwanamke huna pesa huna bikra atakuoa Nani?

Huyu mleta mada kaoa TU kwasabau ya alikua anatamani maisha ya kitajiri... Ambayo hakua nayo..alivyoona mwanamke kwao anajiweza ndo akamuoa..Sasa huyu si atakuwa anadangia familia yamke...

Huyu Hana hela anategemea hela ya mke wake...huyu Ni Mario TU na mdangaji.. Wala Sio wakufuata ushauri wake.
 
Senseless thread again meant to make a woman feel shitty.

1. Virginity
My fellow women, being a virgin should not have an impact on whether someone will date/marry you or not.

We all know that virginity may or may not be lost sexually. And where lost sexually it may be lost with consent or without.

Furthermore, if by consent the one we lose our virginity to may or may not be with us for reasons that nature cannot prevent.

Do ignore the virginity bullshit. Exercise your sexual freedom but with caution having your dignity as a woman in mind.

2. Money

I admire a woman with money. I always cheer inside when a woman does better than me. When a woman drives past in a powerful machine, I tell with delight.

I have said before a woman's insurance is some money of her own against unforeseen circumstances. But don't be fooled into being with a guy who is after your money because you are not a virgin. That is total madness.

You earned your owned money. It may not be much but you pay your bills, you can take yourself to the spa, to dinner and buy your own jewellery without sacrificing your dignity. Spend it wisely.

Life does not end as you get old. Life begins at 40. For the women seeking love after 40. Be wise. Love is there at all ages. Do not buy love. Do not have a scumbag having issues with your virginity like it's a matter of life and death.

Live your life the way you deem fit, just have a clear mind.

Nimemaliza.

Tatizo Mfumo uliyoyaelezea ni mazuri sana

Tatizo Mfumo tu
 
Back
Top Bottom