KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Kama unayo, ni pm, walahi Mwaka hauishi.Shida Ni pale tutakapojitunza halafu tunaolewa mwanaume anakuja kukusaliti.na ile misemo mwanaume haridhiki na mwanamke mmoja inadiscourage sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unayo, ni pm, walahi Mwaka hauishi.Shida Ni pale tutakapojitunza halafu tunaolewa mwanaume anakuja kukusaliti.na ile misemo mwanaume haridhiki na mwanamke mmoja inadiscourage sana
Nikisha kupm then..Kama unayo, ni pm, walahi Mwaka hauishi.
Acha kupotosha watu! Hivi wewe huoni mwanamke anaetoka nje ya ndoa anaitwa Malaya lakini mwanamme haitwi
Nimeshaolewa na sikuwa na bikira kipindi hicho.Njoo nikuoe Mkuu
We jiulize tu kwa nini Mswati anaoa bikra?!
Huwezi jua, mi bado single ujue.Nikisha kupm then..
Oooh vizuriHuwezi jua, mi bado single ujue.
Hana tatizoKwa hiyo jamaa alichukua kitu cha mtumba. Wabongo kwa mitumba hawajambo
NdioHakuna tatizo kutumia kitu cha mtumba ni maisha ya kawaida huko uswahilini