Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

endelea kumjaza upepo tu mwamba bt kuna siku atalia kama samaki machozi yake yaende na maji

Nilie kwani wanawake wameisha?

Nitaoa hata kila siku. lakini siwezi kuoa mwanamke asiye na bikra.

Mwanangu hawezi zaliwa na mwanamke asiye msafi. Hilo haliwezekani
 
Umemuoa mkeo akiwa na miaka mingapi
Sio kweli.

Labda ujali hamu zako, lakini ukishazingatia maslahi ya kizazi chako, ati watoto wako wapitie kwenye K iliyomwagiwa mikojo ya kila aina ya wanaume, vibabu, mateja, wahuni, maboss n.k ati ndio mwanao naye apite humo. Hakika utakuwa haupo sawa
 
Mbona nasikia zipo bikira za bandia na fek ikabisa eti unakuta imekamuliwa limao imejirudi sambamba na hilo unafinyiwa mboo kwa ndanii, kuwekewa siki na vibarafu halafu hata kama haijaingia yaani imetelezea pembeni wanajiliza kama paka wa bar wanashindana na sauti ya mziki.
 
Hata elimu zenu hazijawasaidia hata kung'amua mambo haya kwa kina, mmesoma kukariri, mwanamke kutoka nje ya mahusiano either ya uchumba au ndoa hio ni tabia yake ambayo ina mizizi pengine katika ukoo au kifamilia, hivyo ni lazima kuvunja hio curse, kuna mambo mengi kiroho hua yanafanyika watu hamjui ila sababu mpo mpo tu kama mizigo mnakaririshwa na wataalam wa mahusiano mnaona kua ni sawa tu mnaona kama procedure fulani ya maisha mnawaza tu hapa hapa hamfikirii beyond

wewe mwanamke umekojolewa na wanaume zaidi ya 20, hio ina mana una maroho ya kifamilia zaidi ya 20 unatakiwa ku deal nayo, humo kwenye maroho kuna wazinzi, malaya, gold diggers, unaolewa yale maroho unaenda nayo kwa mumeo, mumeo anayachukua maroho hayo, hivyo ngoma droo, na kama hana kinga yoyote kiroho na yeye anakua malaya, wewe naye unakua malaya, mnadhani mtaishi muda mrefu?

Unafikiri hawajui Mkuu. Wanajua.

Ni sawa na mvuta sigara ambaye ashaambiwa kuvuta sigara ni hatari kwa afya yako lakini anavuta. Sio kwamba hawajui bali wameamua kuwa hivyo.

Hapa wanataka kuwapotosha vijana wengine wajiingize kwenye matatatizo.
 
Nashukuru sana kwa kudhihirisha mindset ya wasio na bikra. Wanaume mmeona wenyewe. Hivi ndivyo wanawake wasi na bikra kwa 90% hufikiri. Ogopa mwanamke malaya ndani ya ndoa. Mwanamke malaya matumizi yake ni kumla na kumpa pesa ya huduma. Lakini sio ndoa na akuzalie watoto. Lazima akuharibie kizazi
Bila Hilo tendo la kimalaya tusingezaliwa, umalaya ulikuwepo even before christ, and after na utaendelea kuwepo tu Hadi mwisho wa dahari
 
Mbona nasikia zipo bikira za bandia na fek ikabisa eti unakuta imekamuliwa limao imejirudi sambamba na hilo unafinyiwa mboo kwa ndanii, kuwekewa siki na vibarafu halafu hata kama haijaingia yaani imetelezea pembeni wanajiliza kama paka wa bar wanashindana na sauti ya mziki.

😀 😀 😀 😀 😀

Bikra Og inatambulika Bwashee
 
Habari Wakuu!

Tangu nijiunge humu JF nimekuwa nikiwapigia chapuo wanawake wenye bikra ndio wake bora.

Asilimia 90% ya wanaume tuliooa wanawake wenye bikra hatuna kesi za ajabu ajabu ndani ya ndoa. Wanawawe sio malaya, wanaadabu, hawana tamaa ya hovyo hovyo.
Wakati 10% iliyobakia ya waliooa wanawake wenye bikra wanapata mikasa na vitimbwi vya ndoa.

Hii ni tofauti na wale wenzangu na miye waliooa wanawake wasio na bikra ambao 90% wanahenyeka, wanaipata fresh ya shamba.
Huku 10% ndio wakineemeka.

Wakati 99% ya wanaume waliooa single mother wakiiona dunia jehanamu, ndoa chungu na maruweruwe.
Huku 1% ya wanaume waliooa single mother ndio wakienjoi.

Sisi tuliooa wanawake wenye bikra mpaka hivi leo tunapeta na wengi tunaenjoi maisha.

Faida ya kuoa mwanamke mwenye bikra

1. Hawezi kukuona kibamia
2. Kiroho mnamafungamano
3. Mtazaa kizazi kisicho cha zinaa tofauti na kuoa mwanamke ambaye tayari ameshafanya uzinzi. Ambapo mtoto wako atapitia kwenye uke ulionajisiwa na wanaume wengine na kumwagiwa manii zingine.

4. Heshima na adabu
Siku zote mwanamke anayekuheshimu atakupa kitu kipya na sio mtumba. Wanawake wa siku hizi wanawadharau wanaume kwa sababu wanaume wengi siku hizi wameamua kula makombo, kula mtumba. Mwanamke hawezi kukuheshimu ikiwa ulimuoa akiwa hana bikra. Hata Mungu mwenyewe hapendi makombo, Mungu kumpa sadaka au zawadi used ni kama umemdharau. Ndio maana akawaambia hata watu wake waoe wanawake bikra, ili wasijitie unajisi wao na kizazi chao.

5. Ukioa Bikra huwezi pata sijui mwanamke aliyetoa mimba, sijui aliyezaa.
Siku hizi wanaume wanaoa wanawake wauaji bila ya wao kujua. Unakuta unaoa jianamke lisilo na bikra kumbe tayari limeshaua watoto kwa kutoa mimba nyingi tuu. Sasa njia bora kuzuia mashaka hayo ni kuoa mwanamke bikra.

6. Mwanamke hatakuwa na Kumbukumbu za Ma-ex wake
Ukioa mwanamke bikra huna wasiwasi, unajiamini kwa sababu wewe ndio wa kwanza. Huwezi linganishwa na mwanaume mwingine kwa sababu hakuna wa kulinganishwa naye. Ila ukioa mwanamke asiye na bikra ni lazima afanye ulinganisho baina yako na wanaume waliompitia. Siku zote awali ni awali. Na siku zote upendo wa kwanza ndio upendo halisi.

Nafahamu mada hii itawaumiza wanawake wengi ambao hawana bikra na hawajaolewa, au waliombioni kuoa mwanamke ambaye hajamkuta bikra. Lakini huo ndio ukweli. Wewe kama huna bikra au uliolewa bila bikra na ukaolewa na mwanaume mwingine ambaye hajakutoa bikra basi tambua wewe ni malaya.

Sisemi malaya wasiolewe, ila lazima mtu kabla hajaoa atambue kuwa changamoto za kuooa malaya ni zipi.
Siku hizi watu wanakuambia ndoa ndoano, au ndoa uvumilivu moja ya sababu ni kuoa wanawake wasio na bikra. Kuoa mwanamke asiye na bikra yataka moyo. Yaani unaoa mwanamke ambaye unafahamu fika kuwa mwanamke huyu ni malaya yaani tayari keshalala na mwanaume mwingine. Kabla hujaoa mwanamke asiye na bikra jiulize utaweza vumilia changamoto za malaya?

Ni tofauti na sisi tuliooa wanawake bikra ambao kimsingi tunakuwa waalimu wa wake zetu tukiwafundisha kila mazuri na mabaya. Lakini unapooa mwanamke asiye na bikra basi tambua yale aliyojifunza kwa waliomtoa bikra basi anakuja ku-apply kwako.

Wakuu bikra zipo, mabinti wapo kibao wenye bikra, acheni kusema bikra hakuna, bikra zipo nyingi kidato cha tano, cha sita, chache zipo chuo.

Nafahamu kuna bikra za kutengeneza, lakini mwanamke bikra hata akili yake huwa bikra hilo ni muhimu.

Bikra matters!!!!

Povu Ruksaa
Wakati 99% ya wanaume waliooa single mother wakiiona dunia jehanamu, ndoa chungu na maruweruwe.
Huku 1% ya wanaume waliooa single mother ndio wakienjoi,
ukweli mchungu huu...
 
Mkuu nenda Zanzibar utawapata wengi wanazo bikra za mbele yaani mbele hakujaguswa kabisa.!
Nasisitiza tena kwamba wanazo bikra za mbele tu hawajaguswa kabisa bado wabichi kabisa kule mbele

Hahahahaha ila nyuma kupo wazi,hao ndio wale ukiwaoa hawaachi kukumbuka mapori yao
 
endelea kumjaza upepo tu mwamba bt kuna siku atalia kama samaki machozi yake yaende na maji
Ameamua nikubaliane nae na imekuwa hivyo...

Ila mi naelewa Ubaya wa hilo ni "Overtrusting". If a guy overtrusts a woman she defines the guy as dumb and losses attraction with him. She will eventually seek for another guy who treats her as a woman. Tabu huanzia hapo.😂😂😂 Watu hufikiria kuwa nice ndio hujaza upendo but things work very differently.
 
Bila Hilo tendo la kimalaya tusingezaliwa, umalaya ulikuwepo even before christ, and after na utaendelea kuwepo tu Hadi mwisho wa dahari

Unaweza kuwa umezaliwa kimalaya lakini haimaanishi tuendeleze umalaya.
Tumezaliwa chini ya dhambi lakini haimaanishi tutende dhambi.
Huenda Baba ni jambazi na pesa za ujambazi ndizo zilizotukuza na kutusomesha lakini haimaanishi tuwe majambazi kama Baba zetu.

Na ndio maana nawaasa vijana wasioe wanawake wasio na bikra. Wewe kama hujaolewa na hauna bikra Muombe MUNGU msamaha, kisha akija mwanaume akitaka kukuoa mwambie tena nisamehe mume wangu kwa maana sikukuwekea bikra.

Na sio kutetea upumbavu, vinginevyo itatimiza ile kauli isemayo, malaya huzaa malaya na ndio maana hutetea umalaya
 
Nilie kwani wanawake wameisha?

Nitaoa hata kila siku. lakini siwezi kuoa mwanamke asiye na bikra.

Mwanangu hawezi zaliwa na mwanamke asiye msafi. Hilo haliwezekani
mkuu we mwenyewe hukuoa ukiwa bikra alafu unawapondea ke wasio bikra, kumbuka hata mitume walioa wake bikra bt baadhi ya watoto zao walikua mafirauni
 
Ameamua nikubaliane nae na imekuwa hivyo...

Ila mi naelewa Ubaya wa hilo ni "Overtrusting". If a guy overtrusts a woman she defines the guy as dumb and losses attraction with him. She will eventually seek for another guy who treats her as a woman. Tabu huanzia hapo.😂😂😂 Watu hufikiria kuwa nice ndio hujaza upendo but things work very differently.

Mkuu kisheria, hasa za dini. Huruhusiwi kumuamini yeyote isipokuwa Mungu. Tulichoruhusiwa ni kupendana. Mume kumpenda Mke, na mke kumtii mume. Na sio kuaminiana.
 
Hata shetani anaupendo.

Ndoa zote uzionazo zilianza kwa upendo lakini kuna upendo wa malaya sijui kama unaujua huo?

Kama anaupendo wa dhati asingekupa kitu used, na ndio maana mwanamke mwenye upendo wa dhati humpa mume wake vinono vikiwa vipya. Sasa mtu anasema anakupenda alafu anakupa K makombo duuu!
Wewe ni mwendawazimu dah😂😂😂
 
Unaweza kuwa umezaliwa kimalaya lakini haimaanishi tuendeleze umalaya.
Tumezaliwa chini ya dhambi lakini haimaanishi tutende dhambi.
Huenda Baba ni jambazi na pesa za ujambazi ndizo zilizotukuza na kutusomesha lakini haimaanishi tuwe majambazi kama Baba zetu.

Na ndio maana nawaasa vijana wasioe wanawake wasio na bikra. Wewe kama hujaolewa na hauna bikra Muombe MUNGU msamaha, kisha akija mwanaume akitaka kukuoa mwambie tena nisamehe mume wangu kwa maana sikukuwekea bikra.

Na sio kutetea upumbavu, vinginevyo itatimiza ile kauli isemayo, malaya huzaa malaya na ndio maana hutetea umalaya
Kuzaliwa ni kuzaliwa tu haijalishi mtu alibakwa au lah, so to me there is no difference kwa hyo zaidi tu ya streotypes za watu, pia mtu anaweza kuwa Malaya with beautiful soul, na matendo mengi hufanya Ila umalaya ni Kama weakness yake as kila binadamu ana mapungufu yake, Kuna watu sio Malaya, Ila wao ndio kumara wa kuhukumu watu, Wana roho mbaya shetani anasubiria, so kwa vile hufanyi dhambi flani hakukupi utakatifu, kila binadamu ana weakness Ila vile watu hunyooshea umalaya wakati ni furaha ya mtu I don't see any problem honestly.
 
mkuu we mwenyewe hukuoa ukiwa bikra alafu unawapondea ke wasio bikra, kumbuka hata mitume walioa wake bikra bt baadhi ya watoto zao walikua mafirauni

Nishakuambia siwezi oa mwanamke asiye na bikra.
Tangu 2013 nilipooa mpaka leo ninasema jambo hili na ninamuambia mke wangu. Moja ya sababu zilizonifanya nikuoe ni pamoja na bikra.

Ila nikamuambia kuwa siku ukichepuka, utafukuzwa mchana kweupe, na hili nililisema siku ya harusi mbele za watu
 
Ameamua nikubaliane nae na imekuwa hivyo...

Ila mi naelewa Ubaya wa hilo ni "Overtrusting". If a guy overtrusts a woman she defines the guy as dumb and losses attraction with him. She will eventually seek for another guy who treats her as a woman. Tabu huanzia hapo.[emoji23][emoji23][emoji23] Watu hufikiria kuwa nice ndio hujaza upendo but things work very differently.
Kuwa mpole kupitiliza inaboa,ina maana hakuna muda muda unakoroma kama kidume.
Wanawake wanapenda mwanaume mwenye mamlaka na kaubabe kwa mbaali ndio maana wa mkoa wa Mara usipomtoa ngeo anaona humpendi au anaishi na mwanamke mwenzie.
 
Back
Top Bottom