Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Probability nafikiri ulishasoma.

Lakini kwa asiye na bikra tayari ni malaya

Probability ni choice over percentage

Certainly or unlikely

Sasa hivi unawezaje kuwa- guarantee wenzako if that is a probability?
 
Probability ni choice over percentage

Certainly or unlikely

Sasa hivi unawezaje kuwa- guarantee wenzako if that is a probability?

Wewe ukiambia uchagua jambo ambalo ni probability
Au uchague jambo ambalo ni uhakika ungechagua jambo lipi?

Umeambiwa uwezekano wa mwanamke bikra kutoa ni mdogo. Probability
Alafu ukaambiwa mwanamke asiye na bikra kutoka ni lazima. Uhakika
Wewe ungechagua mwanamke yupi kati ya hao?

Umepewa dawa mbili, nyeupe na nyekundu. Dokta akakuambia;
Ukinywa dawa nyeupe kuna uwezekano wa kupona. Probability
Ukinywa dawa nyekundu lazima utakufa. Uhakika
Ungechagua dawa ipi kati ya nyeupe na nyekundu?

Kama hujaelewa nitahitimisha ulishatolewa hata bikra ya ubongo
 
Tunatembeza kwa malaya ndio lakini sio kwa wanawake wanaojielewa

1. Kanuni za ndoa ndio zinasemaje kuhusu uaminifu nikwa wanawake tuuu?

2. Neno malaya nikwa wanawake pekee na hawa watembeza bakora wanaitwaje? "Mabaharia" au
 
1. Kanuni za ndoa ndio zinasemaje kuhusu uaminifu nikwa wanawake tuuu?

2. Neno malaya nikwa wanawake pekee na hawa watembeza bakora wanaitwaje? "Mabaharia" au

1. Uaminifu ni kwa wanawake ndio
2. Uliwahi sikia mwanaume akiitwa malaya?
 
I fully agree

Wewe ulitaka uwe sawa na mwanaume umelogwa, ukitaka usawa ndio utaishia kujidhalilisha kwa kufanya umalaya.
Huwezi lingana na mwanaume hata ungetoka mbinguni
 
Back
Top Bottom