Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
weka namba yake ya simu hapa tukuonyeshe urijali,wewe umetokea usukumani huko unataka kutufundisha kazi marijali wa mjini.Njoo umtoombe fala wewe,
Unadhani ufisi wako utamudu mawingo magumu. Kwanza huwezi kukutana naye kapuku kama wewe
Wewe ni mbumbumbu
Nimekusoma psychology yako very low
Nimekuuliza maswali ya msingi hujanijibu hata moja unabwekabweka
Ukitaka kujadiliana na jamii heshimu mawazo ya wengine jifunze kusikiliza na kureason.
Heshimu social diversity
Heshimu nature, uumbaji na existence
Huwezi kuwa hakimu mwenyewe mshitaka mwenyewe ....
Crazy
Danganya wajinga na wapumbavu wa level yako ambao watakusikikiza waingie mitaroni.
Tumia social media kwa kuelimisha na kugain knowledge sio kupotosha.
Am done.
weka namba yake ya simu hapa tukuonyeshe urijali,wewe umetokea usukumani huko unataka kutufundisha kazi marijali wa mjini.
weka namba yake ya simu hapa tukuonyeshe urijali,wewe umetokea usukumani huko unataka kutufundisha kazi marijali wa mjini.
Rijali wa mjini unatoomba malaya wewe si kichaa.
Kama ungekuwa wa mjini ungeweza hata kujua nini maana ya kuoa mwanamke bikra lakini sishangai watu wa mjini kwa kununua malaya.
Mjini huko si ndio kuna madanguro, inashangaza mtu anaoa mke anayegeuza nyumba yake danguro kwa kuingiza wanaume ndani.
Fisi wewe
wewe mama yako alikuwa bikira?Kama baba yako angembagua mama yako kwa kukosa bikira wewe ungezaliwa na kuja kuongea utopolo hapa?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]kwenye namba hapo, simshauri wanawake Ni viumbe, dhaifu et,
naongea mada iliyo mezani,siwezi kupoteza muda nikufuatilie weweUnarudia maswali ambayo nilishajibu zamani, soma huko nyuma. Sirudii jambo kwa mtu mpuuzi kama wewe
yeye si anasema anamwamini mke wake kwa asilimia 100 kwa vile alikuwa bikira,ndio atuwekee namba hapa wanaume tumuonyeshe kazi
naongea mada iliyo mezani,siwezi kupoteza muda nikufuatilie wewe
Kingine hakuna mwanamke ambae alizaliwa Malaya, wote tunao waita mawangaji walitolewa ubikra, ko ukibahatika kuoa bikra mshukuru mungu, sana
Wanaukimbia ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu uzi unaogopwa mno especially kwa wale wanawake walioolewa bila bikra then wanachepuka...
Kingine hakuna mwanamke ambae alizaliwa Malaya, wote tunao waita mawangaji walitolewa ubikra, ko ukibahatika kuoa bikra mshukuru mungu, sana
ndio hivyo kwa vile mtoa mada bado ana akili za kitoto hajui hilo
Mada kuanzishwa na wewe haiwezi kunipa limitation as long as ipo JF.Kama hunifuatilii mimi kinachokufanya uendelee na mada mezani ni nini kama sio kunifuatilia?
Au hujui imeanzishwa na Jokajeusi? 😀 😀 😀 😀 😀
Hapo ndio unaona kukaa mjini sio kuwa na akili,yaani wewe sijui nikufananishe na kiumbe gani ambaye sitamdhalilisha, labda Fisi
Huwa inafika kipindi nawaonea huruma hawa viumbe bikra zinatolewa na wanaume, huku wakiaminishwa kwamba Niko na wewe,
Lakini mwisho wa siku wanakutana masaibu haya , mkuu wengine zimewatoka bila kutegemea kitakachowakuta