MILL8
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 1,837
- 879
Wako mita 200Huu uzi naona mademu hawataki kuuona🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wako mita 200Huu uzi naona mademu hawataki kuuona🤣🤣🤣
Utamu wa bikra tunaupata ila hatuoi!Mkuu uje kwenye Festival uone utamu wa kuoa Mwanamke Bikra. Utabadilisha msimamo
Ndugu umerudi kizaman?Utamu wa bikra tunaupata ila hatuoi!
Hahahahaha, masuala ya ki intelijensia kaka angu, usishangae siku ID inasoma Ashura.Ndugu umerudi kizaman?
hahaha tafuta jina jingine huwa nawapenda sana akina Ashura nisije tongoza huyo ID bure🤣Hahahahaha, masuala ya ki intelijensia kaka angu, usishangae siku ID inasoma Ashura.
Ohooo! hahahahahahaha tafuta jina jingine huwa nawapenda sana akina Ashura nisije tongoza huyo ID bureí ¾í´£
Na ww unayo?We unayo😬
Hebu toa namba yake chap tumuulize kama ni kweli alikua bikra ama ilikua kitu kizito kumkichwa ili tujiridhishe tusije shiriki dhambiHabari za jumapili!
Kama kichwa kinavyojieleza, huu ni Mwaka wa 10 tangu nimemuoa MKE wangu niliyemkuta Bikra. Nilifunga ndoa 15 May 2013. Tangu nimemuoa huyu mtoto, ninakiri Mimi ni Mwanaume mwenye bahati kubwa. Kanuni iliyoniongoza ni kuoa Mwanamke Bikra, nafaidi matunda ya Kanuni Hii.
Nawakaribisha Vijana wote kwenye Bikra Festival Anniversary, wiki ijayo.
OA Mwanamke Bikra
Bikra ndio mpango, epuka kuuziwa mbuzi kwenye gunia.
Nawasilisha
Tutaenda mbele tutarudi nyuma, dadazetu km hamjitunzi, migogoro kwenye ndoa haitaisha. Moja ya faida za kuoa mke bakra:-
1. Mme hata akiwa na kibamia haimletei shida mkewe kwani ndicho anachokijua hudhani all men have the same size.
2. Mme humuamini zaidi na kumpa thamani kubwa. Si maanishi hataweza chepuka lahasha!
3. Unajua hata ile unamchunga mkeo kila dakika hutokana na ulimkuta vipi mkeo. Km ulikuta siku ya kwanza breki ni balls zako, huyo anatwangwa at any time t na x wake. So utampa mashart magumu ya kuwepo home onetime.
5. Yale maneno ya "ulikuwa kwa basha wako" walio olewa mabibra hawaambiwagi haya na waume zao.
Bikra kweli imeipa heshima familia 😁
View attachment 2613529