Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,470
- 7,376
Bikra Matter
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuchapiwa demu kawaida lkn sio mke MkuuUsichukulie serious sn mapenzi hutateseka mkuu.
Kuchapiwa demu kawaida lkn sio mke Mkuu
Kabisahuu uzi unawafaa wale waliooa na wana miaka zaidiya 10
NAKAZIAmwanamke akikusaliti unapaswa umuache mara moja
Tuwahimizehimize watoe tu ushuhuda hata kama mkeka ulichanikaNangoja shuhuda
hao bado hawajajua maana ya ndoa,,,mimi chuoni nimeishi na mwanamke miaka mitatu yote ila bado nasema sijawa na ezperience ya kutosha ilhali naelewa kwamba ndoa ni jambo tofauti haswaKabisa
Ila hata wenye miaka miwil mitatu sio mbaya maana siku njema huonekana asubuhi
Hilo halina ubishi, ila ni vizuri umpate asie msalitimwanamke akikusaliti unapaswa umuache mara moja
hao hawana hata ugomvi 100.....ndoa kongwe ni ile wameshagombana mara 100 na zaidi😀Kabisa
Ila hata wenye miaka miwil mitatu sio mbaya maana siku njema huonekana asubuhi
Binafsi sidhan kama kuoa bikra ndio suluhisho la usaliti.Tuwahimizehimize watoe tu ushuhuda hata kama mkeka ulichanika
Aisee utaugua pressureKuchapiwa demu kawaida lkn sio mke Mkuu
ukitaka umpate ambaye sio msaliti usishike simu yake😀Hilo halina ubishi, ila ni vizuri umpate asie msaliti
HahahahahKuoa bikira atakusumbua sana akionja nje akizibuka
NAKAZIABinafsi sidhan kama kuoa bikra ndio suluhisho la usaliti.