Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndipo pagum ni heri uishi na malaya mkimya kuliko aneejifanya bikra alafu malayaNamimi niliwahi kumpata alienihakikishia kuwa yeye ni bikra pure, nikapanga kumuoa kabisa! Japo nilikuwa na mpango wa kutofanya nae mapenzi kabla, Umbali kati yangu nayeye uliwezesha hilo. Mwisho wa siku kauli chafu, na utovu wa nidham kiujumla aliokuwa akionyesha, niliamua kupga chini, huyo tusingefika mbali wala.
bikra nilimuachia atakaye muoa!!
Na huenda akawa ni huyu huyu unaemzungumzia hapa.
Binti aliyepevuka huyoHivi miaka 27, ni mshangazi au hilo neno linatumika vibaya
Bikra ni bikra tu hata msemaje atabaki na heshima yakeBaada ya mda mrefu humu watu kujazana upepo kuwa ukitaka kuenjoy basi owa mwanamke Bikra niksema ngoja niingie field nipate maiibu sahihi
Kipindi nataka kuowa nilikuwa nipo kwenye mahusiano na binti mzuri tu ambaye nilimkuta na miaka 27 mimi 31, Ni binti ambae sikumkuta bikra ila nilimkuta hana mtoto, ila anayajua mapenzi vilivyo na ana heshima na adabu Maashaallah, alikuwa akija kwangu akitoka hapo unasema mwanamke alikuwemo kweli maana ni msafi alafu anaheshima na hakuwa malaya then alikuwa na akili za kiuutuuzima.
Baada ya kuufuata upepo humu kuhusu umuhim wa Bikra kwenye kuowa basi nikaja nikaja kujaa mazima kwa binti mmoja 24 years na wakati naanza kumtongoza akaniambia yeye ni bikra ila sikuamini
Siku nakuja kufunua nikakuta ni kweli ila shida alikuwa ni muoga vibaya mno wa shuhuli , miezi mitatu ndio nimekuja kuivunja tena kwa mbinde maana alikuwa hataki kabisa , na nikata kumuowa kabisa maana nilihakikishiwa.kabisa wametulia
Balaa likaanza Binti ni kiburi balaa alafu akikasirika anapandishiana maneno na mimi yaani ile hulka ya adabu ya mke kwa mume hana, cha pili utoto mwinngi na linapokuja swala la sex anakuwa mwoga mwoga yaani sometime unajihs mbakaji kumbe upo na mwanamke wako
Ila ule mdomo wake mchafu akikasirika ndio nikaona hapa hakuna mwanamke na nikaamini Bikra sio kila kitu nikamtafutia sababu nikampiga chini sababu hana adabu, nikafanya mpango nikamtafuta binti nliyekuwa nae nikamuomba samahani kuwa nilipata matatizo maana nilipotezana nae kwa miezi akakubali nikarudi mjengoni kwa sasa nakula raha tu na mwezi huu mwishoni nafunga nae ndoa
Ila niwaambieni tu msije mkadhani bikra ndio usalama wa ndoa yako maana hata hawa wnaawake wanaoonekana hawafai kwa sasa wote walikuwa bikra yaani tabia chafu za mwanamke akiwa nazo hata umuowe akiwa bikra kama anazo utakutana nazo na mtaachana tu
Mchunguze mwanamke vizuri muelewe ndio uowe
Misemo tu ya town tuHivi miaka 27, ni mshangazi au hilo neno linatumika vibaya
Tumuulize Poor Brain maana ndo mambo zake hizoHivi miaka 27, ni mshangazi au hilo neno linatumika vibaya
Sasa nimekutana nayo nimeiila na nimeipiga chini hana maajabuBikra ni bikra tu hata msemaje atabaki na heshima yake
Miaka 27 sio mshangz mkuu...Tumuulize Poor Brain maana ndo mambo zake hizo
Eti miezi mitatu kuja kuivunja bikra! Kwani bikra ni komeo la chuma au kofuli la chuma kilo saba? Au bikra ni ukuta wa zege? Weee mwamba hii chai!"Siku nakuja kufunua nikakuta ni kweli ila shida alikuwa ni muoga vibaya mno wa shuhuli , miezi mitatu ndio nimekuja kuivunja tena kwa mbinde maana alikuwa hataki kabisa , na nikata kumuowa kabisa maana nilihakikishiwa.kabisa wametulia"
Hapa ndipo uongo na chai ilipoanzia.
Amini unachokiamini ila mwanamke aliejiheshimu kufananisha na mwanamke amabe hakujali dhamani yake ni matusi makubwa sanaSasa nimekutana nayo nimeiila na nimeipiga chini hana maajabu
T3 ndio vitu gani hivyo dogo, unatuchanganya wajomba zakoMiaka 27 sio mshangz mkuu...
Yaan hata akiwa ana zile T3
Weee T3 ni sifa ambazo kila mshangzi lazima awe nazo kama hana hivo vigezo awezi kuwa mshangaziT3 ndio vitu gani hivyo dogo, unatuchanganya wajomba zako