Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Hivi unaelewa kweli hoja yangu mbona kama una kichwa kigumu sana au unataka tu nirudie kile kile ambacho nimetoka kukuambia, nimesema hivi njia pekee ya wanawake kujitunza ni wanaume kuacha kuwashawishi ili wasikubali kutolewa hizo bikira maana nao ni binadamu siyo malaika, kwahiyo ninyi mnataka muendelee kuwatia wanawake majaribuni halafu wakikubali muanze kuwalaumu ilihali ninyi ndio wenye shida na bikira..hao wanawake wanaoweza kukwepa vishawishi hadi ndoa ni wangapi karne hii hebu andika uhalisia acha porojo!!Kwanini huyo mwenye bikra asiitunze mpaka asubiri mwanaume aje kumtunza? Naelewa unachokiandika?? Yani K anayo mwanamke alafu useme mwanaume ndio aitunze, wewe kwakua huwezi kujitunza usilazimishe kwamba hamna mwanamke anaeweza kujitunza naona hujakutana na wasichana wenzako wenye msimamo yani unakuta hata ufanyaje huwezi kumla na ndicho kipimo cha uaminifu kwa mwanamke sahihi wa kuoa kwakua wameweza kuepukana na vishawishi vya kila aina,
N. B mwanamke asie bikra hatolewi mahari