Aliyewambia hallelujah ni neno la kidini nani hallelujah ni kiebrania maana yake asifiwe au sifu au ni ishara ya kusifu au shangwe linatumika kwa mtu yeyoteHalellujah ni neno la kumtukuza mwenyezi MUNGU. Sasa huo wimbo unamtukuzaje MUNGU namna vile? Wimbo unachezwa kingono ngono tu, na mivitu ya ajabu ajabu. May be muhusika ana mungu wake anaye mtukuza, ila kama ni huyu aliyetuumba, hapana aisee.
Mkristo kaa mbali na Shetani.