Maana ya neno hallelujah Diamond Platnumz amekosea kulitumia?

Maana ya neno hallelujah Diamond Platnumz amekosea kulitumia?

siku za mwisho zimekaribia tutaona ishara nyingi tena za ajabu na baadhi ya watu watakengeuka na kuanza kumuasi Mungu.
 
Jambo la muhimu afanye kazi yake akiheshimu imani za wapenzi wake na mashibi wote bila kuingiza ushetani na kufur dina za upande usiomhusu.

Asifanye kazi kwa kadhalilisha na kudhoofisha imani isiyo yake.

Aachane kabisa na upumbavu huu.


Don't be naive man

Yesu ndiye aliewatwanga makonde waliogeuza sehemu ya ibada sokoni.....Msigeuze nyumba ya baba yangu pango la wezi na wanyang'anyi

Ili jamii na watoto wetu wa heshimu imani yetu dhahili dharau haipaswi kuchekewa.
Thats exactly my point. Hakuna mahali alipoagiza wanaomfuata wafanye hivyo. Na pale walipotaka kufanya hivyo aliwazuia. Spread the word. Live by the word. Testify for the word. Just do not avenge or insult others for the word. Do not address a non believer like an enemy. If you cant help, leave him alone. Otherwise, you will not be so different from the pharisees and teachers back then.
He who live by the sword, will die by the sword. And I'd rather die for the word. Not for the shady things that i convince myself that im doing for the word.
 
Huyo jamaa alichokifanya HAKIELEWEKI....mara ana vaa MISALABA mara ALELUJAH.....mara anajenga misikiti .....hilo neno hakupaswa kulitumia sababu yeye yupo tofauti na upande huo....ni sawa na PADRI sikike anasema ALAH AKBAR....hata kama ni mwanamuziki alipaswa atafute neno lingine kufikisha UJUMBE...alelujah hapana...
 
Kwanza mkuu unatakiwa utambue kwamba kila kitu kina sababu,
kwahiyo unaposema Mungu apewe sifa unatakiwa ujiulize "apewe sifa kwaajili gani?"
anhaa maybe kwa kukuzawadia kitu flani,

okay hata kwa diamond, unatakiwa ujiulize amesema Mungu apewe sifa kwaajili gani? ndipo jibu linakuja
'Apewe kwaajili ya kumpatia zawadi ya Mwanamke mzuri ambaye ndiye anayemsifia ndani ya huo wimbo!...'

Vilevile unatakiwa ukumbuke kwamba Mapenzi sio dhambi, na kumshukuru Mungu na kumtukuza kwa zawadi aliyokupatia pia sio dhambi.
Usipomkumbuka Mungu kwa vitu vidogo basi hata kwa vikubwa hautomshukuru..

HALELLUJAH......

Dah umejibu vyema sihitaji hata kuweka neno.. Hallelujah mtumishi.
 
Ni wimbo mzuri ila neno haleluhaj kaiungaunga tu its not a right place to say haleluyah in that song
 
"Mungu wa Paulo ndo Mungu wa Nasibu na ndo Mungu wa Rick Ross ambaye jina lake mnaliharibu",
 
ac79e673900816a880b7419ebedbf26b.jpg


Zawadi Lupelo

Wanajamvi salamu kwanza!

Nimeusikiliza wimbo mpya wa Diamond Platnumz kwa makini sana. Kitu kilichonitatiza na kuja kunishughulisha hapa jamvini ni neno hallelujah na namna lilivyotumika ni maoni yangu kwamba limetumika kimakosa katika wimbo huo ambao ni wa mapenzi hasa ukizingatia maana ya msingi ya neno ambapo huwa linatumika kwenye ibada katika kumsifu Mungu ni neno linalomaanisha "Mungu apewe sifa".

Ni neno ambalo linaenda sambamba na maneno Bwana asifiwe, tumsifu Yesu Kristo na kadhalika huko makanisani kufikia hatua ya kulitumia hili neno kwenye wimbo wa mapenzi katika muktadha wa Diamond Platnumz ni kufeli kwake katika uteuzi wa maneno.

Haiwezekani umezungukwa na mademu wapo nusu uchi unaimba Hallelujah huku ni kuitweza imani na utukufu wa Mungu.

Ni matumaini yangu wakati mwingine atakuwa makini kwenye kuchagua maneno ya kutumia ili kuhakikisha haleti mkanganyiko wowote.

I rest my case.

Zawadi Lupelo.
Elimu, elimu, elimu. Daimond ameinba kilichomjia kichwani, amewahi kusikia neno 'haleluya' likamvutia au huenda alipata uvuvio wa kipepo.

Vv
 
mond kakosea anaimba halelujah huku wanawake wapo nusu uchi angeimba allah wakbar angeona cha mtema kuni huku ni kudhiakii imani za watu wengine
 
Kwanza mkuu unatakiwa utambue kwamba kila kitu kina sababu,
kwahiyo unaposema Mungu apewe sifa unatakiwa ujiulize "apewe sifa kwaajili gani?"
anhaa maybe kwa kukuzawadia kitu flani,

okay hata kwa diamond, unatakiwa ujiulize amesema Mungu apewe sifa kwaajili gani? ndipo jibu linakuja
'Apewe kwaajili ya kumpatia zawadi ya Mwanamke mzuri ambaye ndiye anayemsifia ndani ya huo wimbo!...'

Vilevile unatakiwa ukumbuke kwamba Mapenzi sio dhambi, na kumshukuru Mungu na kumtukuza kwa zawadi aliyokupatia pia sio dhambi.
Usipomkumbuka Mungu kwa vitu vidogo basi hata kwa vikubwa hautomshukuru..

HALELLUJAH......
[emoji106]
 
Cjuii kwann hii ngoma imewatoa watu povu hvy Mara kanunua views Mara vevo tuwaeleweje sasa daaah wabongo banaa
 
Kwanza mkuu unatakiwa utambue kwamba kila kitu kina sababu,
kwahiyo unaposema Mungu apewe sifa unatakiwa ujiulize "apewe sifa kwaajili gani?"
anhaa maybe kwa kukuzawadia kitu flani,

okay hata kwa diamond, unatakiwa ujiulize amesema Mungu apewe sifa kwaajili gani? ndipo jibu linakuja
'Apewe kwaajili ya kumpatia zawadi ya Mwanamke mzuri ambaye ndiye anayemsifia ndani ya huo wimbo!...'

Vilevile unatakiwa ukumbuke kwamba Mapenzi sio dhambi, na kumshukuru Mungu na kumtukuza kwa zawadi aliyokupatia pia sio dhambi.
Usipomkumbuka Mungu kwa vitu vidogo basi hata kwa vikubwa hautomshukuru..

HALELLUJAH......
Kuzungukwa na mademu uchi kabisa wote unawashikashika then unamalizia hallelujah
 
Kwahiyo imani yenu ni Hallelujah, au?!

Au Mwislamu hawezi kumsifu Mungu kwa kile alichomfanyia kama ambavyo Diamond anavyomsifu Mungu baada ya kumpa demu mkali?!

Nyie watu acheni kukariri! Hallelujah is just a word. Endapo originally Bible ingekuwa imeandikwa kwa Kiswahili, original texts zisingekuwa na hilo neno kwa sababu Hallelujah has nothing to do with Christianity but is just a word lenye tafsiri ya Tumsifu Mungu (Jah).

Na ndio maana hata kwenye Bible ya Kiswahili kuna maneno "Tumsifu Mungu" kwa sababu ndio tafsiri ya neno Hallelujah!!!

FYI, neno Hallelujah lipo hadi kwenye Biblia ya Kiyahudi! Wayahudi wale wale ambao wanamuita Yesu ni shetani! Hilo neno lipo kwa sababu ni neno la Kihebrania ambalo halina uhusiano wowote na Ukristo bali lina lina uhusiano na Mungu!

Na ingawaje kwa imani ya Kristo, Yesu nae ni Mungu, y'all know neno hilo haliwakilishi Mungu Mwana bali Mungu Baba, kwa sababu, ni Mungu Baba ndie lugha mbalimbali zinamuita Jah! Na ndio maana hata nyinyi wenyewe penye kumsifu Mungu Baba mnasema "Tumsifu Mungu" na penye kumsifu Mungu Mwana mnasema "Tumsifu Yesu Kristo!"

Au unataka kusema hiyo Hallelujah ni tafsiri ya "Tumsifu Yesu Kristo/Tumsifu Mungu Mwana?"

Zaburi 150:6-"Kila kiumbe hai kimsifu Mwenyezi-Mungu! Msifuni Mwenyezi-Mungu!"
Mwenyezi Mungu huyo ni Mungu Mwana/Yesu au Mungu Baba?!

Kama ni Mungu Mwana basi mnayo haki ya kusema anadhihaki imani za wengine (Ukristo)!

Lakini kama ni Mungu Baba, hiyo exclusive right ya Wakristo peke yao ndio wenye haki ya kumsifu Mungu wa wote mmeitoa wapi?!

Again, Psalm 150:6 (King James version) inasema:"Let every thing that hath breath praise the LORD. Praise ye the LORD."
And Darby's English Translation: "150:6 Let everything that hath breath praise Jah. Hallelujah!"

Kwanini kwenye Darby's bible ndo kuna neno Hallelujah? Kwa sababu, Darby's bible inatumia original words used in the bible ambayo mengi ni ya Kihebrania na Kigiriki! Na huko ndiko limetoka neno Halleluyah!

Kwahiyo aya hiyo hiyo, Kiswahili imeandika "Msifuni Mungu" English (King James) imetumia "Praise ye the Lord" na Darby's translation imetumia neno Hallelujah!

WHY? Because that's just a word lenye tafsiri zake kwa lugha mbalimbali na wala sio kwamba eti Hallelujah ni Ukristo?!

And look, hiyo ni Psalm/Zaburi ambayo ndani yake limetumika neno Hallelujah!! Je, Zaburi/Psalm ni sehemu ya Injili ya Yesu hadi muone kwamba neno Hallelujah

Wakristo na Waislamu ni watumwa wa hizi dini kwa sababu hamsomi na kujaribu kutafuta asili ya haya mambo!!!
Mkuu wewe huna dini?
 
Back
Top Bottom