Maana ya neno hallelujah Diamond Platnumz amekosea kulitumia?

Aliyewambia hallelujah ni neno la kidini nani hallelujah ni kiebrania maana yake asifiwe au sifu au ni ishara ya kusifu au shangwe linatumika kwa mtu yeyote
 
Wakristo unaowaambia wasishabikie Diamond ndio hivi vivulana na visichana vya bongo fleva?Unahangaika tu kwani wako possessed kitambo
 
Ukumbuke kuna mkristo na MAKRISTO,
 
Ndo utawakuta wamejaa club wanacheza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sawa tumekuelewa,ila ingekuwa ndio umetoka enzi zile kulikuwa hakuna luninga na kwa vile lugha hazipandi tungeupiga hadi makanisani...
 
Duh!
 
Msipende kuingiza chuki pasipo na msingi wowote, mmeshaelezwa kwa nn ametumia neno hilo, "anasifia uumbaji wa Mungu" so sioni km hilo neno lina shida sana.
 
Akina Rose Muhando mbona wanakataga mauno uku wakiimba hiyo Halleluya.
 
Atokee Msanii aimbe Alhamdullillaah huku wakina Dada wamevaa vichupi uone shurba atakayoipata Uislaam ndio Dini ya kweli
 
Mimi mkiristu lakin sjaona kosa lake ,Ikumbukwe Kristu alikuja duniani kwa ajili ya wanadamu wote haijalishi ni din gani ndomaana ukiwa na imani unaweza kulitumia jina ilo na kutenda miujiza mikubwa bila kujali miujiza iyoinamtokea mtu wa dini gani,na ikumbukwe injili itasambazwa kila mahara kabla ya mwisho wa dunia na hata ukikuta watu wanabishania dini usiwalaumu maana uisambaza injili paspo wao kujua.Na msisahau kua aliposema njooni kwangu ninyi nyote wenye kusumbuliwa na kulemewa na mizigo nami ntawapumzisha pale anasema njooni wakristu bali aliwataka wanadamu wote bila kuangalia dini zao ,kabila wala rangi.Ivo muache kijana asambaze injili maana alisema hata msipo sema mililima itasema.
 
Ingekua ni ule upande wa pili tayari wangekinukisha,
 
Na ukikuta mkristu anatokwa povu kisa mtu wa dini nyingine kasalimia kwa kusema Bwana Yesu asiwe ujue KABISA hajitambui ,Yesu mwenyewe allisema alikuja kuwaokoa waliopotea sasa ww mkristu km unaona kondoo aliepotea kaanza kulud kundini povu la nn.?
 
Huyu agent wa lucifer lazima tumkemee
Acha kukariri ndugu!!! Soma ili uwe una elimu ya kile unachokiamini!!! Nyie ndo wale Wakristo wanaojinasabisha sana na Wayahudi wakati mbele ya Uyahudi Ukristo ni dini ya shetani na Yesu Kristo ni shetani!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…