Maana ya neno hallelujah Diamond Platnumz amekosea kulitumia?

Dini hazimiliki maneno... LUGHA.. say Kiarabu, Kiswahili, Kiingereza, Kimanda, ect... Na ndo maana mtu akitamka neno fulani, unaweza ukasema ni kiingereza, au Kizaramo....

Dini zinatumia lugha fulani..


!
!
Kwa hiyo unaweza kwenda msikitini na kusema hallelujah? Mfano wakisema takbir badala ya kuitikia Allah kbar unaweza kuitikia hallelujah?
 
Mbona kuna wasanii wengi Wametumia neno hilo ila kwakua kaimba mondi ndo mnasjudge msemeni na tekno na wengine wabongo tutabaki kuwa nyuma Kama kisigino
 
!
!
Kwa hiyo unaweza kwenda msikitini na kusema hallelujah? Mfano wakisema takbir badala ya kuitikia Allah kbar unaweza kuitikia hallelujah?
Kule wanatumia kiarabu... sasa kama HALELUYA ni kiarabu na linabeba maana inayokusudiwa baada kusema takbir .....NDO USEME..!!!

Muwe mnawaza nje ya box..!!!
 

Diamond ndio wa kwanza kufanya hivyo?
 
Kuna wimbo flani wa Rick Ross anatumia hilo neno...
 
unawazunguziaje wanaoimba nyimbo hizo za kileo wakiwa wamevaa misalaba? Na hata wewe unajizungumziaje pale unapopiga dili haramau alafu ukaomba mungu akusaidie? Pambana na hali yako mjomba ungekiwa unamjua mungu hata huo wimbo usingesikiliza wacha kuangalia.
 
Duh! Umeua sana sikuwaza kwa upande huu kabisa. Means kwamba ule wimbo Mondi anamshukuru Mungu. Aiseee Dunia imekuwa tata sana wengn tumeachwa
 
Makanisani wanaimba Hallelujah huku wanakata mauno hapo napo vp
 
Mwenyezi Mungu amrehemu
 
Hebu niusikilize kwa Makin m sijauelewa kabisa na hata mpangilio wake wa maneno ajitahid kutunga mashairi yanayoeleweka jmn
Hamna yote tisa nyimbo hii ni very classic yaan level za ki international flani hivii nautatoboa mbali sana
 
Wabongo kazi kulialia tu kwenye kila kitu.
 
Kuna wimbo flani wa Rick Ross anatumia hilo neno...
Blowing money fast.


I think I'm Big Meech, Larry Hoover
Whipping work, hallelujah
One nation, under God
Real niggas getting money from the fucking start
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…