Maana ya neno hallelujah Diamond Platnumz amekosea kulitumia?

Ifike mahala kila mmoja wetu aheshim dini ya mwingine upumbavu wa ku-cross mstari unaacha dini yako unafanyia mzaha dini za wengine nikukosa hekima,
kukosa adabu na
kudhalilisha imani ya wenzako.

Kwanini kaamua kuparamia dini isiyomhusu?
 
Wakristu hatuna hayo mambo.
Ukitamka haleluya wakati ukiwa humaanishi mambo ya mungu basi haina maana yoyote, linakuwa ni neno tu na halina utukufu wowote wa kimungu. Ni sawa na wanaovaa misalaba au rozari ambazo hazijabarikiwa, inakuwa ni urembo tu.
Hatuna tatizo na hilo.
 
Wewe mwenyewe hilo neno ni la kimatengo?au la ki zanaki?acha kutawaliwa tena na watu waliotusumbua.Mbona huwa unamkuta dada amewekewa hogo anagegedwa anasem yesu,yesu yesu yesu hasa wachaga au jesus u r so sweet na sio mume wake?Hapo maana yake inakuwa ni nini?
 
Unajua maana ya neno hallelujah
 
... God be praised....

Kuna tatizo gani hapo!?

Mkishavimbiwa lazima mtafute pa kupumulia..
 
yani mimi huyu dogo nimemdharau sana aisee,amekosa maneno ya kutumia paka amewweka hilo neno,na anajua fika maana ya hilo neno na huwa linatumika wapi,hyo ni kufuru...na ni dhambi pia..
 

Jamii na watoto wetu wataheshimu vipi mipaka na utukufu wa maneno tuyatumiayo endapo akina diamondi wanayafanyia mzahaha?
 
Kabisa,atakua na Mungu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…