T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,118
- 30,551
Kweli UKAWA noma, wanafunga spika mtu akiwa Mlandizi aisikie sauti ya Kamanda.
Khaa!! imekaa poa sana. Ila bange na viroba viwepo vya kutosha :glasses-nerdy:Ninatangaza Mkesha Jangwani, Ndugu Makamanda Leo Tutafanya Ulinzi Wa Mkesha Pale Jangwani Kwa Ajili Ya Mkutano Wa Kesho Vyombo Vinaendelea Kufungwa Hivyo Nyinyiem Wanaweza Wakafanya Hira
Ninatangaza Mkesha Jangwani, Ndugu Makamanda Leo Tutafanya Ulinzi Wa Mkesha Pale Jangwani Kwa Ajili Ya Mkutano Wa Kesho Vyombo Vinaendelea Kufungwa Hivyo Nyinyiem Wanaweza Wakafanya Hira
Hahaha hili jibu nimelipenda kwa kweli.SHIKAMO KansigoDogo kesha kwa ajili ya kupata ufalme wa mungu ; usikeshe kwa ajili ya mafisadi; unapata faida gani labda
Na imeandikwa, kesheni mkiomba. Sasa huyu anakesha kuhakikisha fisadi anaenda Ikulu!Dogo kesha kwa ajili ya kupata ufalme wa mungu ; usikeshe kwa ajili ya mafisadi; unapata faida gani labda
Ninatangaza Mkesha Jangwani, Ndugu Makamanda Leo Tutafanya Ulinzi Wa Mkesha Pale Jangwani Kwa Ajili Ya Mkutano Wa Kesho Vyombo Vinaendelea Kufungwa Hivyo Nyinyiem Wanaweza Wakafanya Hira
Na imeandikwa, kesheni mkiomba. Sasa huyu anakesha kuhakikisha fisadi anaenda Ikulu!
Mkumbuke kupata kibali maana mmh kila kona hilaNinatangaza Mkesha Jangwani, Ndugu Makamanda Leo Tutafanya Ulinzi Wa Mkesha Pale Jangwani Kwa Ajili Ya Mkutano Wa Kesho Vyombo Vinaendelea Kufungwa Hivyo Nyinyiem Wanaweza Wakafanya Hira