Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Status
Not open for further replies.
Mkuu sisi ndio makamanda wa kulinda uwanja. Leo tunakesha pale kuwatungua wanga wote. Na sio mpaka diamond awepo. Maana baada ya diamond kutumbiza ile tamasha la ccm watu waliondoka. Sisi ni mwanzo mwisho.
 
naona mkakati wa kumbip kamanda kova na kamanda chagonja unaendelea
lengo lenu ni kupata political sympath kutoka kwa wananchi sio,
na mimi nawaunga mkono enyi WAPUMBAVU NA MALOFA msiojielewa na kujitambua enendeni makeshe pale tutakuja kuwaletea ndizi na machungwa segerea au ukonga na wengine tutakuja kuwaoangalia pale MOI na mwaisela mhimbili mkiwa mmening'inzwa miguu na mikono juu baada ya kuvunjwa ..

kila la kheri eny WAPUMBAVU, MALOFA, MAZWAZWA, MAZUZU msiojitambua
pipooooooooooooooooooozzzzz

najua mmejibu mkiwa mmepanua vidole viwili juu na kujibuu pawaaaaaaaa

NB:NAWASHAURI ENYI MAKAMADA WENZANGU WA UKAWA KUWA, NI HERI KUPANUA "AKILI" KULIKO KUPANUA "VIDOLE" KAMA MFANYAVYO. stori ya mbayuwayu na iendeleee, la kuambiwaaa...........

Ninatangaza Mkesha Jangwani, Ndugu Makamanda Leo Tutafanya Ulinzi Wa Mkesha Pale Jangwani Kwa Ajili Ya Mkutano Wa Kesho Vyombo Vinaendelea Kufungwa Hivyo Nyinyiem Wanaweza Wakafanya Hira
 
ninatangaza mkesha jangwani, ndugu makamanda leo tutafanya ulinzi wa mkesha pale jangwani kwa ajili ya mkutano wa kesho vyombo vinaendelea kufungwa hivyo nyinyiem wanaweza wakafanya hira
watu wa kaskazini bwana/////
 
Kumekuwa na matatizo ya vipaza sauti katika baadhi ya mikutano kesho wawe na vifaa bora sio ubabaishaji.
 
ITV NA RADIO ONE kesho watakuwa live kwa hiyo usikose kutembea na headphone maana umeme kutwa kesho hautakuwepo
 
Teh Teh Makanda hadi kulipia matangazo kurusha mkutano Live wamechelewa wamekuta CCM wameshalipia wanabaki kulia lia tuu....!

Makanda vipi kituo gani kitarusha matangazo Live?

tbc,azam,itv,channel 10 watarusha chadema huku star TV watarusha wa ccm mbeya
 
Khaa!! imekaa poa sana. Ila bange na viroba viwepo vya kutosha :glasses-nerdy:

mkuu uje navyo kabisa mana si bi mkubwa wako ndiye pusha maarufu apo mtaani sie tuko njiani hapa korogwe tuko na kamanda nasari jafary maiko na mzee wetu mtei na mzee ndesafedha
 
Teh Teh Makanda hadi kulipia matangazo kurusha mkutano Live wamechelewa wamekuta CCM wameshalipia wanabaki kulia lia tuu....!

Makanda vipi kituo gani kitarusha matangazo Live?
Makanda ndiyo nani? Au ulimaanisha Makonda?
 
Pia na mimi SHEIKH ABDULRAHMAN IBN MALIK ntakuwepo na madrassa yangu MADRASATUL FIISABILI LLAH kutoa burudani ya kaswida na kutia FATHA.

ACHA UDINI WEWE KESHO JANGWANI KUNATUHUSU SOTE HATA WASIOAMINI DINI KUNAWAHUSU PIA.

Nimetaja dini gani? hapo? alipokuwepo tanganyika pakers mkutano wa chadema, na kule arusha kwa mtia nia kulikuwa na mahubiri?
 
Ninatangaza Mkesha Jangwani, Ndugu Makamanda Leo Tutafanya Ulinzi Wa Mkesha Pale Jangwani Kwa Ajili Ya Mkutano Wa Kesho Vyombo Vinaendelea Kufungwa Hivyo Nyinyiem Wanaweza Wakafanya Hira

Mkesha wa nini si mnatamba mmeshinda uchaguzi asubuhi kwanini msilale mwakwenu?
 
hivi haya majitu ya ukawa hayana kazi za kufanya?
 
Kuna tetesi kwamba polisi wamevamia uwanja wa jangwani na kumsimamisha maandalizi ya UKAWA
 
Teh Teh Makanda hadi kulipia matangazo kurusha mkutano Live wamechelewa wamekuta CCM wameshalipia wanabaki kulia lia tuu....!

Makanda vipi kituo gani kitarusha matangazo Live?
Kitu kinachonifurahisha ni kwamba karibu wanaCCM wote mnafuatilia ufunguzi wa Ukawa na mgombea wake mmesahau kama mna mgombea wenu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…